Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Sisi wananchi tunataka audit,pesa ikishaingia serikalini haiwezi kutumika kiholela bila ukaguzi kufanyika!Hiyo ni hski yetu ya msingi kabisa!Audit inaombwa na shirika iliyoleta hela siyo EU tena nakukumbusha walihoji hayo ni Wabunge kutoka ujerumani tena kumbuka Lisu alijificha Ubalozi wa Ujerumani tena kumbuka Ujerumani ndiyo yenye chama tawala kinachoisaidia Chadema tena kumbuka Amsterdam ni Mfuasi wa Chadema tena kumbuka taarifa yake alipeleka kwa wabunge wa Ujerumani mwisho nasema wabunge wa Ujerumani ni Chadema iliyochangamka
Mengine hayo sioni hoja!