Pre GE2025 Kamati ya Maridhiano ya Taifa yashangaa CHADEMA kufanya Maandamano wakati Taifa lina Misiba mitatu mikubwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Waache wafu wawazike wafu wao.

Kamati ya Amani na Maridhiano ni sehemu ya CCM kuwazodoa wenzao.

Hivi amani na maridhiano ndani ya mioyo yetu vinakujaje kwenye hili janga la kibadamu la umeme, maji, mfumuko wa bei, ukata na matatizo mengine?

Wao wasubiri bajeti ya kuzurura nchi nzima kuhubiri amani ya kuwasaidia watawala kuendelea kuwafanya raia misukule yao
 
Waacheni watumie haki yao ya kikatiba...

Tunajua inatuuma sana CCM.
 
Chama kinachojivunia usomi Kwamba kina wasomi kuliko wenzao CCM lakini kina Mambo ya hovyo Sana.
CHADEMA ni wapuuzi na hawajui wanachokipigania.....tuko Kwenye maombolezo wao wanaratibu ujinga wa kuandamana ili iweje?
 
Chama kinaongozwa na wehu kama Lema unategemea nini?
 
Chama kinachojivunia usomi Kwamba kina wasomi kuliko wenzao CCM lakini kina Mambo ya hovyo Sana.
CHADEMA ni wapuuzi na hawajui wanachokipigania.....tuko Kwenye maombolezo wao wanaratibu ujinga wa kuandamana ili iweje?
Wana upimbi uliopituliza
 
Waacheni watumie haki yao ya kikatiba...

Tunajua inatuuma sana CCM.
Haki huambatana na wajibu!
Katika ustaarabu tu wa kawaida , hata mtaani huwa unaona majirani husitisha shughuli zao kupisha shughuli za mazishi!
Sasa CHADEMA kimuhe muhe cha nini wakati Lowassa hata hajazikwa.
Ona hata tone ya Mnyika wakati anazunguza juzi pale Karimjee , Utadhani ana rap!
CHADEMA wapuuzi sana!
 
Je wajibu HULAZIMISHWA?
 
Kwani hayo maombolezo yamepunguza bei ya sukari na umeme kukatikakatika!!?
 
Hawa chawa wa CCM waacheni
 
Waislam ktk swala la msiba limekuwa ni simple. Kuepusha fitna kama hizi. Na pia kuokoa fedha. Maana muislam ukinunuliwa kitambaa chako cha elf 2 ushazikwa
 
Maisha magumu acha tuandamane.hata sukari inawadhinda .Watumishi wa umma kikokotoo huku mishara hawajapandishiwa.
 

Taifa lipi mzee watu tunaendelea na shughuli zetu kama kawaida.....
 
Huyu ni mpumbavu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…