Pre GE2025 Kamati ya Maridhiano ya Taifa yashangaa CHADEMA kufanya Maandamano wakati Taifa lina Misiba mitatu mikubwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Maombolezo yalikuwa siku 5 shughuli nyingine LAZIMA ZIENDELEE mbona Bunge na ziara za Viongozi zinaendelea
 
Inasikitisha sana,yaani tulupofikia siyo sahihi vitu vingine vinavyoondoa CHADEMA kwenye mstari wa uzalendo na utu ni pamoja na tukio hili la leo.
 
Hiyo tu kupata watu 300 toka nje ya Mwanza wanaoweza kwenda mahali kwa kujitegemea nauli ni bonge ya mafanikio. Una lingine kwa msaada zaidi?
 
Ndiyo hata Mimi najiuliza.

Tunachojua ni kuwa tuna misiba 2 ya Lowasa na Msabaha, huo msiba wa 3 ni wa nani??

Au ndiyo anatabiri kuwa utakuwepo msiba mwingine mkubwa, wakati wowote kuanzia sasa!?
Kamara aliyewahi kuwa Waziri wa Afrika Mashariki kama sikosei.
 
Ndio kuna msiba lkn haina maana shuhuli zote zisimame hawez kuacha mapambano kwasab askari mmoja kafa vitani.

kwani wanachama wangap wanafariki na shughuli zinaendelea kama kawaida.

Kwa mantiki hiyo mpuuzi ni wewe sasa
Kati ya maombolezo na maandamano kipi kinapaswa kupewa kipaumbele. Guys get to be serious sometimes....huyo Lowasa aliiweka Sana Chadema Kwenye ramani 2015 just like 8+years ago.....Leo hii mmejisahaulisha....
Kuna muda MTU hudhani wanachadema wamezaliwa na Baba mmoja.
 
Uko sahihi.
 
Chama kinachojivunia usomi Kwamba kina wasomi kuliko wenzao CCM lakini kina Mambo ya hovyo Sana.
CHADEMA ni wapuuzi na hawajui wanachokipigania.....tuko Kwenye maombolezo wao wanaratibu ujinga wa kuandamana ili iweje?
Kwani wamekulazimisha uache kulia?Wewe endelea kulia kwa juhudi zako zote.Maisha hayakusubiri.
 
Ndio tuko kwenye maombolezo siku tano,
Tuambie shughuli yoyote iliyosimama kwa ajili ya maombolezo!
 
Wanafiki pambaneni na hali yenu..Mlimtukana Lowassa leo mnasema hakuwa na kosa...haya leo kafa .....kiko wapi
Wanasiasa uchwara wa bongo ni takataka si CCM wala Upinzani wote wapuuzi tu...atakaewasikiliza labda fala tu...
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu.
 
Afadhali hao wanaenda kutetea maisha magumu ya watanzania, sisi mnyama tunaenda kushangilia tena ndani ya kambi ya jeshi leo.
 
Nyumbu hujaenda kuandamana au ndo unaandamana Kwenye smartphone 🀣🀣🀣🀣
Nipo chumba cha mawasiliano kuchukua taarifa.Roho inakuuma. Ulitamani maandamano yasiwepo uanze kujichekesha kama fisi wa maonesho kwenye mikutano ya CCM!Utaipandeka!
 
Mama mwenyewe tangu msiba utokee anapiga kazi/kama sio kuzurura huko ughaibuni kama kawa.
Anarudi lini tuomboleze?
Hakuna shughuli iliyoahirishwa!!
 
Nipo chumba cha mawasiliano kuchukua taarifa.Roho inakuuma. Ulitamani maandamano yasiwepo uanze kujichekesha kama fisi wa maonesho kwenye mikutano ya CCM!Utaipandeka!
Ukute uko sebuleni unafuatilia msiba wa Lowasa unasubiria taarifa za jioni ujionee makamanda uchwara walivopopolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…