Kamati ya Tuzo TFF imetumia vigezo gani kuchagua Beki Bora wa Ligi ya NBC?

Inonga aje achukue na yeye tuzo yake hapa nyumbani kwangu msasani. Kuna elf 20 hapa na kuku wawili
 
Weka vigezo vyako /hoja YAKO siyo unaleta malalamiko tu.
 
Pamoja na Yanga kuruhusu mabao 18 lakini imeruhusu kwenye Mechi chache ukfananisha na Magoli 16 waliyoruhusu Simba.

Yanga wameruhusu magoli kwenye mechi 11 tu

Simba wamefungwa magoli 16 kwenye mechi 15
Maana yake Yanga imeruhusu magoli mengi kwenye mechi moja ilihali Simba machache kwenye mechi moja.
Kwa mantiki hiyo beki ya Yanga ilikuwa mbovu
 
Jamani ebu tufahamishane vizuri hapa wote tujue.

Dickson Job kapewa tuzo ya Beki Bora kwa Criteria gani?

Haya tuliyaona TMA na tuzo zao za CUBA, leo hii kwenye NBC mambo kama yanajirudia.
Makolo hamchelewi kuzusha Job ni mtu wa kitengo a.k.a asset ya wavaa kaunda
 
Ka anzishe tuzo zako hauja chelewa
 
Mi huwa napata taabu sana kuelewa tuzo zote duniani

Unaweza kukuta beki bora wa msimu labda ni Xhaka lakini kwenye kikosi bora cha msimu hayupo

Nilitegemea Job angekuwepo kwenye kikosi bora cha msimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…