Kamati ya Tuzo TFF imetumia vigezo gani kuchagua Beki Bora wa Ligi ya NBC?

Wewe jamaa hua ni pimbi hivi beki wa kati anaweza kutoa assist kama LB na RB ? na tangu lini beki akapimwa kwa vigezo vya assist?
Wewe ndio pimbi

Tuzo za NBC zilikuwa na category ya beki.

Hazikuwa na category ya beki wa eneo gani.

Maana yake beki yeyote ambaye alionesha ubora aliweza kuchukua hii tuzo.

Ubora ni number

Inonga ni Center back, je hana goli?
 
Croatia walikua na medali [emoji23][emoji23]
Kila nikiona comment zako za hovyo natamani nikuite "huna akili" kama njia ya kukukera.

Lakini nikikumbuka nature ya Gongowazi kwa mujibu wa Manara nabaki kimya kwasababu kukuita "huna akili" haitakuwa kashfa itaonekana kama nakusifia (something to be proud of)
 
ulioanzisha huu mjadala ndio ulete takwimu zao hapa 😄
 
kumbe kigezo chako ni assist
nilitegemea ulete ka block mipira kiasi gani, takoling ngap unaleta stori za assist
Kigezo ni kufungwa mabao machache.

Hilo ni eneo lililosababishwa na ubora wa backlines
 
Kama kigezo cha kufungwa goli kidogo ndio kinakufanya uhisi job,msimu uliopita Yanga ndio timu iliyofungwa goli chache na bado inonga alichaguliwa kuwa beki bora
 
Lakini huko Simba si mna tuzo za Mo lawama za nini sasa
 
Wewe ndio pimbi

Tuzo za NBC zilikuwa na category ya beki.

Hazikuwa na category ya beki wa eneo gani.

Maana yake beki yeyote ambaye alionesha ubora aliweza kuchukua hii tuzo.

Ubora ni number

Inonga ni Center back, je hana goli?
Mwaka mzima una lalamika tu utakufa [emoji23][emoji23] aisee
 
Sawa sina akili ila najua Croatia walikua na medali ni uongo?
 
Mi huwa napata taabu sana kuelewa tuzo zote duniani

Unaweza kukuta beki bora wa msimu labda ni Xhaka lakini kwenye kikosi bora cha msimu hayupo

Nilitegemea Job angekuwepo kwenye kikosi bora cha msimu
Mbna yupooo
 
Kigezo ni kufungwa mabao machache.

Hilo ni eneo lililosababishwa na ubora wa backlines

Kumbe Inonga alipendelewa mwaka jana
Maana Yanga ndio walifungwa magoli machache[emoji23][emoji23]

Japo huwa sikubaliani sana na uchambuzi wa George Ambagile lakini nilimsikia akisema kitu chenye mantiki kwamba kwa bahati mbaya sana dunia ya sasa hivi inadhania takwimu(namba) ndio kipimo pekee cha mpira
Kuanzia takwimu za mchezo kiujumla na takwimu za mchezaji mmoja mmoja

Sasa hivi kila mtu anazungumzia assist kuanzia golikipa mabeki viungo na washambuliaji

Ukitumia kigezo cha assist kwa mabeki basi akina Inonga, Onyango yaani mabeki wa kati utawaonea

Ukitumia kigezo cha assist kwa viungo kuna viungo ni wakabaji zaidi na viungo washambuliaji lakini kwenye category hawa ni VIUNGO

Aina ya uchezaji wa mchezaji na mifumo ya kocha ndio inaamua bakia aka assist au la nk nk

Hata mimi napata ukakasi Job kuwa baki bora lakini vigezo vyako dhidi ya wengine havikutumika dhidi ya inonga

Na bahati mbaya bongo hatuna takwimu za block na tackling kwa mabeki
 
Kigezo ni kufungwa mabao machache.

Hilo ni eneo lililosababishwa na ubora wa backlines
mnavyo imba mabao machache utasema anaye wafuatia kwa uchache mmemzidi kweli wakat mmetuzidi bao 1 wananchi

yawezekana job kawazidi mabek wako kuzui,kuondosha hatari, kufagia mipira inayozagaa langoni hivyo kuwa bora
 
Kama kigezo cha kufungwa goli kidogo ndio kinakufanya uhisi job,msimu uliopita Yanga ndio timu iliyofungwa goli chache na bado inonga alichaguliwa kuwa beki bora

Msimu wa 2021/22

Inonga alistahili kuchukua kwa kigezo cha hizi hapa stats zake.

Touches 84
.
Interceptions 7

Tackles won 5

Dribble 2

Goals 2

Na msimu huu kafanya makubwa zaidi ya hapa
 
mnavyo imba mabao machache utasema anaye wafuatia kwa uchache mmemzidi kweli wakat mmetuzidi bao 1 wananchi

yawezekana job kawazidi mabek wako kuzui,kuondosha hatari, kufagia mipira inayozagaa langoni hivyo kuwa bora
Goli 1 linatosha kuweka rekodi ya kiaka 100

Ndio hapo nimesema leteni hizo stats zake tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…