Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila jamaa weye huwa kajinga sana. Kwa hiyo imekuuma sana wanavyotaka kujenga ofisi? Na ulivyo lofa unadhani michango watamchangia kwenye akaunti yake? Wanataka kujenga ofisi umenuna. Tabularasa kweli kama id yako.😂😂😂😂😂
Hebu weka mtiririko wa walivyopokea ruzuku hiyo.Tatizo chadema nao ni wapigaji tu, hawana tofauti yoyote na wale wengine.
Wamepokea ruzuku za mamilioni lakini hawana hata kiwanja cha kujenga ofisi ya makao makuu.
Ruzuku ipi kwani wanapokea ruzuku, je ruzuku ni ya kujenga ofisi? Je CCM wameweka mtiririko wa ruzuku wazi?Hebu weka mtiririko wa walivyopokea ruzuku hiyo.
Wivu unakukereketa.
Kuanzia uchaguzi wa 2020 Chadema hawajapokea ruzuku kutoka kwa msajili wa vyama vya siasa.ruzuku ipi kwani wanapokea ruzuku je ruzuku ni yakujenga ofisi?je ccm wameweka mtiririko wa ruzuku wazi?
Kweli huyu jamaa ni Tabularasa kabisaIla jamaa weye huwa kajinga sana. Kwa hiyo imekuuma sana wanavyotaka kujenga ofisi? Na ulivyo lofa unadhani michango watamchangia kwenye akaunti yake? Wanataka kujenga ofisi umenuna. Tabularasa kweli kama id yako.😂😂😂😂😂
Wakijenga hamtabomoa kama mlivyobomoa jengo la Tanesco Ubungo au Club Bilicanas?? Kama mna hasira mpaka kwa Bustani za Mbowe mtakosa visasi na ofisi za chama?
Kwahiyo umechukia wanapotaka kujenga hii ofisi??Tatizo Chadema nao ni wapigaji tu, hawana tofauti yoyote na wale wengine.
Wamepokea ruzuku za mamilioni lakini hawana hata kiwanja cha kujenga ofisi ya makao makuu.
Sio lazima wewe Utoe Acha wenzako wenye upendo watoe
wameshatoa sasa utafanya niniWatoe ziliwe?
Anachukia wizi wa michango kwa kisingizio cha ujenzi. Tukubali ukweli.Kwahiyo umechukia wanapotaka kujenga hii ofisi??