Kamati ya Ujenzi CHADEMA: Jengo la chama Iringa, tunaomba michango yenu

Kamati ya Ujenzi CHADEMA: Jengo la chama Iringa, tunaomba michango yenu

Tatizo Chadema nao ni wapigaji tu, hawana tofauti yoyote na wale wengine.
Wamepokea ruzuku za mamilioni lakini hawana hata kiwanja cha kujenga ofisi ya makao makuu.

Ruzuku gani wamepokea. Halafu Ruzuku yeynyewe shilingi ngapi?. Ungejikita kuishauri serikali ya Samiah kupungiza deni la 91 trilioni.
 
Hatimaye CDM wameuingia mtego wa kujenga MAJENGO Badala ya Kujenga CHAMA.

Itikadi inajengwa ktk NAFSI, KAZI hiyo ya ushawishi haijaisha mnahamia kwenye majengo.

Waulize WAHINDI kwann hawajengi majengo, wanapanga town enzi na enzi!!!!
 
Hi

Chama kitajengwaje bila coordination office?. Ofisi zinajengwa kwaa ajili ya kuratibu suala la itikadi na uenezi?.
 
Hi

Chama kitajengwaje bila coordination office?. Ofisi zinajengwa kwaa ajili ya kuratibu suala la itikadi na uenezi?.
Hatupingi ujenzi,

Tunapinga kuhamisha raslimali ambazo zingetumika kusupport nauli za viongozi kwenda mashinani kusaka Wanachama wapya, pesa za kufadhiki ununuzi wa vocha nk ziende kwenye ujenzi!!!

2024 ni uchaguzi wa mitaa mjue,

Ndomana nasema CDM ni kama panya mjanja, wameuingia mtego walotegewa na CCM kupitia ACT.

Mwenye Akili tu ndo ataelewa.

Ameeeen
 
Back
Top Bottom