zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
CAG kaona haya au ni wewe tu?Tatizo Chadema nao ni wapigaji tu, hawana tofauti yoyote na wale wengine.
Wamepokea ruzuku za mamilioni lakini hawana hata kiwanja cha kujenga ofisi ya makao makuu.
safi kabisa tunaanza kuchanga haraka yale mapoyoyo ya majiz ya kura yajinyongeKwa unyenyekevu tunaomba mchango wako kwa ajili ya Ujenzi wa ofisi ya Chama Iringa’- Peter Msigwa, Mwenyekiti Kanda ya Nyasa.
View attachment 2444564View attachment 2444565
Kila kitu kina wakati wakeSi tumekubaliana CHADEMA ipo mioyoni mwa watu, hizi Habari za majengo za nini sasa?
Ngoja nitume mchango wangu sasa hiviKwa unyenyekevu tunaomba mchango wako kwa ajili ya Ujenzi wa ofisi ya Chama Iringa’- Peter Msigwa, Mwenyekiti Kanda ya Nyasa.
View attachment 2444564View attachment 2444565
Wewe kwa hiyo unaumiaIshu ni kuchangisha watu pesa na kuzitafuna
SABAYA yupo Arusha Rufaa ya Jamhuri dhidi yake inaunguruma[emoji3]
Tatizo Chadema nao ni wapigaji tu, hawana tofauti yoyote na wale wengine.
Wamepokea ruzuku za mamilioni lakini hawana hata kiwanja cha kujenga ofisi ya makao makuu.
dada mla viazi, jamaa wapo naye hadi kiamaSABAYA yupo Arusha Rufaa ya Jamhuri dhidi yake inaunguruma[emoji3]
Nimechangia mil 1.5
Waanze ufipa kwanza
Hatimaye CDM wameuingia mtego wa kujenga MAJENGO Badala ya Kujenga CHAMA.
Itikadi inajengwa ktk NAFSI, KAZI hiyo ya ushawishi haijaisha mnahamia kwenye majengo.
Waulize WAHINDI kwann hawajengi majengo, wanapanga town enzi na enzi!!!!
Hatupingi ujenzi,Hi
Chama kitajengwaje bila coordination office?. Ofisi zinajengwa kwaa ajili ya kuratibu suala la itikadi na uenezi?.