GE2025 Kamati ya Ulinzi na Usalama Tanga yatoa onyo kwa watakaovuruga Amani siku ya Uchaguzi

GE2025 Kamati ya Ulinzi na Usalama Tanga yatoa onyo kwa watakaovuruga Amani siku ya Uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Kamati ya ulinzi na Usalama Mkoa Tanga imetoa onyo kwa wananchi wote wenye nia ovu ya kuvunja amani siku ya uchaguzi na kwamba kwa yeyote ambae atajaribu kufanya hivyo,atachukuliwa hatua za kisheria.

Onyo hilo limetolewa na Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi Batilda Buriani Jumamosi Oktoba 18,2025 kwenye mkutano wake na waandishi wa habari akiwa na kamati ya amani na viongozi wa kisiasa mkoa na kueleza kuwa hatua kali zitachukuliwa.

 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Tanga imetoa onyo kali kwa wananchi wote wenye nia ovu ya kuvunja amani katika kipindi cha uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025, ikisisitiza kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya yeyote atakayejihusisha na vitendo hivyo.

Onyo hilo limetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Batilda Buriani, wakati akizungumza na waandishi wa habari akiwa ameambatana na Kamati ya Amani pamoja na viongozi wa vyama vya siasa mkoani humo.

Balozi Batilda amesema serikali haitasita kuchukua hatua kwa mtu yeyote atakayehatarisha utulivu na amani ya mkoa huo siku ya uchaguzi.

Kwa upande wake, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi, amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwa amani na kuacha kujihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani.

Kamati hiyo imewahakikishia wananchi kuwa maandalizi yote muhimu kwa ajili ya uchaguzi yamekamilika, na imewataka wakazi wa Tanga kushiriki kikamilifu katika zoezi hilo kwa utulivu na nidhamu.


 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu. Machawa na mali zao tunaishi nao mitaani kwetu.

Ndugu watanzania, mafuta ya taa, petroli na viberiti havijawahi kuwa adimu.

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
All is rubbish! Waandamanaji wanakuwa wameshakuwa maiti....akija mtu ujue yeye ni maiti tayari hivyo utarundika maiti wengi na kesho ICC itakuhusu
 
Back
Top Bottom