Kamau: Rais Magufuli adhibitiwe na EAC, amevuka mipaka!

Kamau: Rais Magufuli adhibitiwe na EAC, amevuka mipaka!

Sisi tunaendelea kula nchi wala hatuna stress ndiyo maana tunaendelea kujenga nchi kwa nguvu kubwa!
Hamna stress mngeendekeza ushirikina? Kile chumba hakifunguliwi mpaka muende likizo mmeweka nini?
Kuna siku mtu atasema kuna nini humo!
 
Linanunulika sana hilo la Tanzanite kika siku copy zake zinaisha nenda pale Mnara wa Askari waulize wauza magazeti watakuambia magazeti yanayonunuliwa sana la kwanza ni Mwananchi then Tanzanite!
So mkuu na wewe huwa unasoma gazeti la Tanzanite??? Hahahaha siamini haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kupotosha kwa ajili ya ushabiki au malipo
 
Which impact does this Kenyan moron called Wanderi Kamau have over our country so that we pay attention to what he has written?
 
Bila shaka, viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wafaa kusimama kidete kupinga dhuluma anazoendeleza Bw Magufuli dhidi ya wapinzani wake. Kwa sasa anairejesha kanda hii katika enzi ya giza.
Ni hapa tu alipokosea mwandishi wa habari hiyo, na kulifanya andiko lake lipoteze uzito sahihi ulilonalo.

Nkurunziza huyo hapo, hamwoni?

Na Kagame je..., huyu ndiye atakayemtegemea amwajibishe mwenzake, au ndio amshangilie afanye zaidi ya aliyokwishafanya?

Museveni, kweli anayo haki yoyote ya kumkemea dikteta mwenzake anayeiga mbinu zake katika kuwatumia polisi kumfanyia kazi ya kuwadhibiti wapinzani?

Hawa wote wanahitaji kudhibitiwa na wananchi wao. Hakuna hata mmoja anayestahili wala kuwa na uwezo wa kumkemea mwenzake.

Uhuru Kenyatta. Yeye sasa yupo yupo tu kama mlokole. Hana lolote analoweza kufanya. Bila shaka hata yeye anatamani angekumbuka mapema kujiunga na hao wenzake.

Kundi pekee linaloweza kuwadhibiti hawa watu ni ushirikiano wa wananchi katika nchi zote ili watafute njia za kujikwamua na hawa madikteta waliopo sasa na ambao bado wanaendelea kutafuta njia za kujiimarisha zaidi.
 
You must declare interest!
Jirani akikuponda mara nyingi ni wivu tu!
Ukipondwa na Gates unakuwa ni wivu? au kwa vile siyo jirani? kati ya kenya na TZ nani mwenye index kubwa ya "development"
 
Hakuna gazeti linalodharauliwa na Wakenya kama Taifa leo, nimefika huko mara nyingi, huwa nikinunua hilo Gazeti wananishangaa na kunicheka sana, hivyo hiyo siyo newsworthy kwa Mkenya.
Ndio kama UHURU, na Tanzanite huku kwetu, wanaharibu karatasi, bora wangechakata tupate toilet papers za kutosha.
 
Uyu kabendera ana faida gan kwa taifa mbna watu wanamuongelea sana
Ana faida kama uliyonayo wewe. Tofauti pekee, na ambayo inakufanya usiongelewe sana ni kwamba zamu yako bado. Ikifika nawe utaongelewa sana.

Tofauti inayoweza kuwepo ni kwamba wewe unaweza usiwe na ujasiri aliokuwa nao Kabendela, au unaweza ukawa shibe yako inapatikana kutokana na kubeza watu kama akina Kabendela.
 
Kiumbe muongo ww cjapata kuona
Sijui kuhusu Msiba lkn Tanzania hakuna ,,classes” baina ya Wasomaji Magazeti kila mtu anaweza kununua Gazeti lolote na kusoma bila ya kujificha, Kenya ni tofauti, ukisoma Taifa leo unaonekana wewe ni mtu wa chini kabisa kwenye jamii ambaye haujui English language na hivyo wa kudharauliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamau the Nyang'au wewe ni boya tu unaona wivu tunavyozidi kuchanja mbuga,wanao watuma wakina Kabe na watu wa aina yake wanawatelekeza baada ya mambo yao kwenda sawa. Washauri kwanza vijana kutumia akili kufikiri kabla hawajaingia kwenye mikataba ya kuichafua serikali yetu tukufu. Kama Kenya mmezoea sisi hatupo kama ninyi.
Bwana mjumbe mfikishie Kamau the Nyang'au hii.

macson
 
Back
Top Bottom