Hamna stress mngeendekeza ushirikina? Kile chumba hakifunguliwi mpaka muende likizo mmeweka nini?Sisi tunaendelea kula nchi wala hatuna stress ndiyo maana tunaendelea kujenga nchi kwa nguvu kubwa!
So mkuu na wewe huwa unasoma gazeti la Tanzanite??? Hahahaha siamini hayaLinanunulika sana hilo la Tanzanite kika siku copy zake zinaisha nenda pale Mnara wa Askari waulize wauza magazeti watakuambia magazeti yanayonunuliwa sana la kwanza ni Mwananchi then Tanzanite!
So bashite naye anamdharau? Mana na yeye mule muleAnazarauliwa na nani au unamaanisha wasaliti na Mafisadi na wenye veti fake? Hao ni haki yako kwa sababu wananyooshwa ile mbaya! Wanakufa na stress!
Kila siku lazima nisome gazeti la Tanzanite na MwananchiSo mkuu na wewe huwa unasoma gazeti la Tanzanite??? Hahahaha siamini haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole na vyeti vyako fake naona unaumia kweli. Tulia mkuu huwezi fanya chochote zaidi ya kuongeza stress tuu!
Mnakula buku 7 then mnaenda kulala, kesho mnarudi tena kulitetea jiwe, ungekuwa unakula nchi usingekubali kuajiriwa kazi ya buku 7 kwa siku ili ujitoe ufahamu. 7X30=210,000/=, Nchi gani unayoila wew?Sisi tunaendelea kula nchi wala hatuna stress ndiyo maana tunaendelea kujenga nchi kwa nguvu kubwa!
Mshahara wangu ni zaidi ya 5m mkuu!Mnakula buku 7 then mnaenda kulala, kesho mnarudi tena kulitetea jiwe, ungekuwa unakula nchi usingekubali kuajiriwa kazi ya buku 7 kwa siku ili ujitoe ufahamu. 7X30=210,000/=, Nchi gani unayoila wew?
Sent using Jamii Forums mobile app
amenituma mama yako niilete hapa, hivyo unamtukana mama yakoPeleka huko ass thread yako!
Ndiyo mana uko kama Musiba, hope siyo tusi kwako na sijamaanisha kukukosea ila kukusifiaKila siku lazima nisome gazeti la Tanzanite na Mwananchi
Ni hapa tu alipokosea mwandishi wa habari hiyo, na kulifanya andiko lake lipoteze uzito sahihi ulilonalo.Bila shaka, viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wafaa kusimama kidete kupinga dhuluma anazoendeleza Bw Magufuli dhidi ya wapinzani wake. Kwa sasa anairejesha kanda hii katika enzi ya giza.
Ukipondwa na Gates unakuwa ni wivu? au kwa vile siyo jirani? kati ya kenya na TZ nani mwenye index kubwa ya "development"You must declare interest!
Jirani akikuponda mara nyingi ni wivu tu!
Ndio kama UHURU, na Tanzanite huku kwetu, wanaharibu karatasi, bora wangechakata tupate toilet papers za kutosha.Hakuna gazeti linalodharauliwa na Wakenya kama Taifa leo, nimefika huko mara nyingi, huwa nikinunua hilo Gazeti wananishangaa na kunicheka sana, hivyo hiyo siyo newsworthy kwa Mkenya.
Ana faida kama uliyonayo wewe. Tofauti pekee, na ambayo inakufanya usiongelewe sana ni kwamba zamu yako bado. Ikifika nawe utaongelewa sana.Uyu kabendera ana faida gan kwa taifa mbna watu wanamuongelea sana
Sijui kuhusu Msiba lkn Tanzania hakuna ,,classes” baina ya Wasomaji Magazeti kila mtu anaweza kununua Gazeti lolote na kusoma bila ya kujificha, Kenya ni tofauti, ukisoma Taifa leo unaonekana wewe ni mtu wa chini kabisa kwenye jamii ambaye haujui English language na hivyo wa kudharauliwa.
Huyu hana faida yeyote lakini hatutii hasara kama magufuliUyu kabendera ana faida gan kwa taifa mbna watu wanamuongelea sana
Hizo ndio tuhuma ila nyie munabambikiaKama angetuhumiwa kwa makosa ha