Kamba uliomba nafasi za kazi TRA jipange, jiandae mapema

Kamba uliomba nafasi za kazi TRA jipange, jiandae mapema

Kwa hiyo wabaki kwenye ajira za malaki wawaachie madogo ajira za mamlioni?
Watu wanalipwa Malaki na bado wanaishi vizurii tu mkuu watuachie na sisi wadogo zao tupate hizo cheq no.
 
muda huu ndio mkague vyeti vyenu majina kama yanatofautiana kwenye cheti cha kuzaliwa na vyeti vya shule ukatafute deed pole mapemaaa lasivyo utachoma nauli yako buree cheti cha kuzaliwa umaendikwa MIRIAM cha shule MARRY unaishia mlangoni
Mbona walisema hivyo kwenye system yao ya ajira kipindi cha kuaply kwamba mtu anaweza kuweka dead pool au affidavits kabisa kwenye' birthday certificate' yake kwa 'pdf 'moja nadhani wakitumia kigezo hicho wasio weka daed pool then majina yao ni tofauti kuna uwezekano wa kula kwao. Ila ngoja tuone kama mfumo utaanzia wapi kabla au kwenye usahili wenyewe wata shuhulika wasimamizi.
 
Back
Top Bottom