Kamba uliomba nafasi za kazi TRA jipange, jiandae mapema

Kamba uliomba nafasi za kazi TRA jipange, jiandae mapema

Na bado hatuoni tatizo ?!!!!

 
Kuna kundi kubwa la watu walio na ajira sehemu nyingine wanataka kuingia TRA, marafiki zangu wote walio apply hizi nafasi, wameajiriwa sehemu nyingine kwenye makampuni binafsi, ila wanataka kuingia TRA. Sio kweli hyo idadi ni ya watu wasio na ajira kabisa ila haimaanishi kwamba Tanzania hakuna tatizo la ajira.
Hata walio serikalini Halmashauri tumeapply
 
muda huu ndio mkague vyeti vyenu majina kama yanatofautiana kwenye cheti cha kuzaliwa na vyeti vya shule ukatafute deed pole mapemaaa lasivyo utachoma nauli yako buree cheti cha kuzaliwa umaendikwa MIRIAM cha shule MARRY unaishia mlangoni
CHa kuzaliwa kina Juma Hamis Juma
Cha shule kina Juma H Juma. Hilo ni tatizo ?
 
Back
Top Bottom