financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Sasa wasio na waganga kabisa itakuaje😀😀Hapo ndo utapima je mganga wako ni mwanafunzi au ni moto wa kuotea mbali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wasio na waganga kabisa itakuaje😀😀Hapo ndo utapima je mganga wako ni mwanafunzi au ni moto wa kuotea mbali
Watu 85Ni huzuni mkuu hapo kwa kila kada haraka harak nafasi 1 inagombaniwa na zaidi ya watu 10+
Ni wapi ambako ajira siyo tatizo mnk naona hadi wamafekani wa alia snaWaombaji 135,027 kwa nafasi 1,596
Ajira ni tatizo kubwa.
Sasa wasio na waganga kabisa itakuaje
Kuna kundi kubwa la watu walio na ajira sehemu nyingine wanataka kuingia TRA, marafiki zangu wote walio apply hizi nafasi, wameajiriwa sehemu nyingine kwenye makampuni binafsi, ila wanataka kuingia TRA. Sio kweli hyo idadi ni ya watu wasio na ajira kabisa ila haimaanishi kwamba Tanzania hakuna tatizo la ajira.Waombaji 135,027 kwa nafasi 1,596
Ajira ni tatizo kubwa.
TAMISEMI walioomba huko Ni maelfu.Kuna kundi kubwa la watu walio na ajira sehemu nyingine wanataka kuingia TRA, marafiki zangu wote walio apply hizi nafasi, wameajiriwa sehemu nyingine kwenye makampuni binafsi, ila wanataka kuingia TRA. Sio kweli hyo idadi ni ya watu wasio na ajira kabisa ila haimaanishi kwamba Tanzania hakuna tatizo la ajira.
Watapambana tu hivyo hivyoSasa wasio na waganga kabisa itakuaje😀😀
Mwengine anasema wenye degree waende veta kujifunza ufundi 🤣🤣🤣🤣Huku PSRS huku TRA tutanyooka majobless😄😄
Kwa kila nafasi moja kuna waombaji 85. Imagine mnakwenda kwenye interview watu 85 ili achaguliwe mmoja.Waombaji 135,027 kwa nafasi 1,596
Ajira ni tatizo kubwa.
Mim upande wangu nalia na Mungu wangu kama yangu ipo hata zingekuwa nafasi 3 ningepata wakati wa Mungu ndio wakat sahihiKatika hao 1000 nafasi 900 tayari washapatikana hadi sasa unavyosoma hii comment