Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Mambo ya hovyo kabisaHao machawa usitarajie lolote kutoka kwao, wanachojuwa ni kumsifu Rais ili waendelee kubunya tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya hovyo kabisaHao machawa usitarajie lolote kutoka kwao, wanachojuwa ni kumsifu Rais ili waendelee kubunya tu.
SIjaona hoja ya msingi, kwa sababu amechanganya vitu vingi, mara madukaHoja ya msingi kabisa
Pia kama kuna waziri mwenye dhamana humu tunaomba mods watusaidie kumtag
Je kusingekua na kambi ya jeshi na eneo, lote limejengwa na wananchi hebu tuache akili bandia serikali ikihitaji ene litapatikana hata bila kugusa kambi ya jeshi, kwani kimara kituo kimejengwa vipi.Umeongea point sana mkuu. Gongola mboto wanajenga mwendokasi sasa sijui kituo wanaenda kuweka wapi?
Nakumbuka miaka ile nakwenda Pugu SS kusoma tuitions za practicals kituo cha mwisho kilikua Gongo la Mboto mwisho wa lami. Kule mbele kulikua kijijini.
Naona nao wameamua kuiga Kawe wanajenga frames. Hiyo sio kazi ya jeshi.
Hata ile kambi pale Lugalo ihame. Wanajeshi wakakae huko mipakani.
Tuache basi mwendokasi. Hakuna kituo cha daladala kuleSIjaona hoja ya msingi, kwa sababu amechanganya vitu vingi, mara maduka
Je kusingekua na kambi ya jeshi na eneo, lote limejengwa na wananchi hebu tuache akili bandia serikali ikihitaji ene litapatikana hata bila kugusa kambi ya jeshi, kwani kimara kituo kimejengwa vipi.
Mimi nimeiona.SIjaona hoja ya msingi, kwa sababu amechanganya vitu vingi, mara maduka
Kwahiyo kwa uelewa wako kambi zikijengwa polini, hadui hawazi kuzifia. Hivi hujiulizi kwanini kambi ya gongolamboto kambi, kisarawe na kambi ya uwanja wa ndege zilijengwa karibukaribu.Dunia imechangamka sana badala ya jeshi letu kujikita kwenye tafiti zenye manufaa
Sidhani kama ni busara kambi ya jeshi kuwa na fremu za biashara je kiusalama ni sawa kweli
Wakipigwa ambush atalaumiwa nani?
SwaMimi nimeiona.
Kwahiyo na wewe unaamini bila kuhamishwa kambi ya jeshi, serikali ikitaka kujenga hicho kituo cha daladala wanakosa?Tuache basi mwendokasi. Hakuna kituo cha daladala kule
Kambi ya jeshi sio mahali pa kufanyia ujasiriamaliMilitary Industry & entrepreneurship ndio hio Mjasiriamali Mwanajeshi sio akistaafu anaanza kulilia kikokotoo kimefanyanini sijui huko NSSF & PSSSF
SumaJKT wana vituo vya Mafuta kwenye maeneo ya Jeshi kwani? Haujui kwamba Jeshi lina wataalamu wa aina ZOTE mpaka wapishi wabobevu wapo kule unakula mpaka unapata kitambiKambi ya jeshi sio mahali pa kufanyia ujasiriamali
Ujasiriamali sio taaluma.SumaJKT wana vituo vya Mafuta kwenye maeneo ya Jeshi kwani? Haujui kwamba Jeshi lina wataalamu wa aina ZOTE mpaka wapishi wabobevu wapo kule unakula mpaka unapata kitambi
Shule gani ulifundishwa hivyo? Ujasiriamali ni nini? Ukijibu hapo ndio utajua kwanini wameamua kujenga fremu za biashara Kambini, km Kambini kuna Shule na wanaosoma ni wote watoto wa raia na watoto wa wanajeshi ajabu IPO wapi fremu za biashara? Au nikutajie Kambi zenye Shule?Ujasiriamali sio taaluma.
Jeshi lenyewe ni shule, sio ajabu kuwa na shule za kiraia.Shule gani ulifundishwa hivyo? Ujasiriamali ni nini? Ukijibu hapo ndio utajua kwanini wameamua kujenga fremu za biashara Kambini, km Kambini kuna Shule na wanaosoma ni wote watoto wa raia na watoto wa wanajeshi ajabu IPO wapi fremu za biashara? Au nikutajie Kambi zenye Shule?
Mama amulike nini wakati falsafa aliyopewa udaktari wa heshima, ni kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake!Nadhani ifike wakati serikali yetu hata kama ina wajinga wengi basi tutumie nafasi yetu kushauri badala ya kukosowa tu.
Mimi si mtaalam wa mambo ya ulinzi lakini naelewa fika nimezaliwa Dar gongo la mboto ilikuwa iko wilaya ya kisarawe ni shamba.
Sasa kuwepo kambi ya JWTZ kwa kipindi kile ilikuwa sahihi, lakini sasa hivi dunia imehama hatuko huko tena kuna vita za kiteknolojia, haya makambi mijini ni useless kabisa.
Nimepita leo kambi ya gongo la mboto nimeshangaa kuona jeshi liko bize na ujasiriamali wa fremu za biashara kwa sababu kambi iko barabarabani hili siyo sahihi hii ni miradi ya watu wakubwa jeshini.
Gongo la mboto ni route ya magari mbalimbali ya safari za jijini lakini hakuna bus terminal, ni kwa nini kambi kama hii ya gongo la mboto isihamishwe na kupisha matumizi ya umma badala ya kugeuza eneo la jeshi kama mgodi wa watu flani?
Najuwa Rais hapendi kulikera jeshi lakini kwa hili hakuna manufaa yoyote kwa jeshi zaidi ya ulaji wa maboss wachache wa jeshi.
Muda wa kufumbia macho maovu na ufisadi kwenye jeshi letu umepita sasa ni lazima tuambiane ukweli, mama mulika makambi ya jeshi Dar, omba ushauri wa kisasa kwa Military analyst achana na wale wenye akili za kijima kwamba Zanzibar ni muhimu kwa Tanganyika kwa sababu za kiusalama, wewe waulize Iran aliporusha drones zake Israel alipitia nchi jirani?
Kwa kweli hajui.Uzuri kasema yeye siyo mtaalamu wa mambo ya ulinzi.
Hawezi kujua kuna nini au facilities gani pale.
Mjinga wa kwanza ni wewe usiye na akili hujui dunia iko wapi.Kwahiyo kwa uelewa wako kambi zikijengwa polini, hadui hawazi kuzifia. Hivi hujiulizi kwanini kambi ya gongolamboto kambi, kisarawe na kambi ya uwanja wa ndege zilijengwa karibukaribu.
Halafu nenda Lugalo, ukitoka Lugano nenda uhasibu.
Na ukishapata jibu jiulize tena mbona huko wanakopigana hatusikii leo, jeshi fulani wameshambulia kambi fulani, iliyejengwa poli fulani. Bali miji tu ndiyo inayoshambuliwa.
Acha kufuata mawazo ya wajinga wanaojifanya kujua kila maeneo ya watu, maana nawe utaingia kwenye ujinga.
Hoja, aombe kujengewa kituo cha mabasi gongolamboto, na siyo kuhamisha kambi eti sababu wanajengwa frem.
Unaongea mambo ya zamani sana zama za vita vya Kagera.Kwa kweli hajui.
Ukipiga hesabu ya radius ya 10km kutoka pale, kuna vital installations nyingi, uwanja wa ndege, mitambo ya matangazo ya TBC, power station za Kinyerezi etc