Kambi ya Jeshi Gongo la Mboto ihamishwe kijengwe kituo cha basi

Military Industry & entrepreneurship ndio hio Mjasiriamali Mwanajeshi sio akistaafu anaanza kulilia kikokotoo kimefanyanini sijui huko NSSF & PSSSF
 
Hoja ya msingi kabisa
Pia kama kuna waziri mwenye dhamana humu tunaomba mods watusaidie kumtag
SIjaona hoja ya msingi, kwa sababu amechanganya vitu vingi, mara maduka
Je kusingekua na kambi ya jeshi na eneo, lote limejengwa na wananchi hebu tuache akili bandia serikali ikihitaji ene litapatikana hata bila kugusa kambi ya jeshi, kwani kimara kituo kimejengwa vipi.
 
Tuache basi mwendokasi. Hakuna kituo cha daladala kule
 
Dunia imechangamka sana badala ya jeshi letu kujikita kwenye tafiti zenye manufaa
Sidhani kama ni busara kambi ya jeshi kuwa na fremu za biashara je kiusalama ni sawa kweli
Wakipigwa ambush atalaumiwa nani?
Kwahiyo kwa uelewa wako kambi zikijengwa polini, hadui hawazi kuzifia. Hivi hujiulizi kwanini kambi ya gongolamboto kambi, kisarawe na kambi ya uwanja wa ndege zilijengwa karibukaribu.
Halafu nenda Lugalo, ukitoka Lugano nenda uhasibu.

Na ukishapata jibu jiulize tena mbona huko wanakopigana hatusikii leo, jeshi fulani wameshambulia kambi fulani, iliyejengwa poli fulani. Bali miji tu ndiyo inayoshambuliwa.

Acha kufuata mawazo ya wajinga wanaojifanya kujua kila maeneo ya watu, maana nawe utaingia kwenye ujinga.
Hoja, aombe kujengewa kituo cha mabasi gongolamboto, na siyo kuhamisha kambi eti sababu wanajengwa frem.
 
Tuache basi mwendokasi. Hakuna kituo cha daladala kule
Kwahiyo na wewe unaamini bila kuhamishwa kambi ya jeshi, serikali ikitaka kujenga hicho kituo cha daladala wanakosa?
 
Military Industry & entrepreneurship ndio hio Mjasiriamali Mwanajeshi sio akistaafu anaanza kulilia kikokotoo kimefanyanini sijui huko NSSF & PSSSF
Kambi ya jeshi sio mahali pa kufanyia ujasiriamali
 
Kambi ya jeshi sio mahali pa kufanyia ujasiriamali
SumaJKT wana vituo vya Mafuta kwenye maeneo ya Jeshi kwani? Haujui kwamba Jeshi lina wataalamu wa aina ZOTE mpaka wapishi wabobevu wapo kule unakula mpaka unapata kitambi
 
Ujasiriamali sio taaluma.
Shule gani ulifundishwa hivyo? Ujasiriamali ni nini? Ukijibu hapo ndio utajua kwanini wameamua kujenga fremu za biashara Kambini, km Kambini kuna Shule na wanaosoma ni wote watoto wa raia na watoto wa wanajeshi ajabu IPO wapi fremu za biashara? Au nikutajie Kambi zenye Shule?
 
Jeshi lenyewe ni shule, sio ajabu kuwa na shule za kiraia.
 
Mama amulike nini wakati falsafa aliyopewa udaktari wa heshima, ni kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake!
 
Mjinga wa kwanza ni wewe usiye na akili hujui dunia iko wapi.

Fanya kikao na viongozi wa Hamas jificheni popote Dar ndio utajuwa maana military intelligence mtashushiwa drone za kutosha na makambi yenu yote mliyoyajaza Dar hayatofanya lolote.
 
Kwa kweli hajui.

Ukipiga hesabu ya radius ya 10km kutoka pale, kuna vital installations nyingi, uwanja wa ndege, mitambo ya matangazo ya TBC, power station za Kinyerezi etc
Unaongea mambo ya zamani sana zama za vita vya Kagera.

Huu ndio ujinga na hoja za kipuuzi mnazotumia kuitawala Zanzibar kimaguvu sasa hivi mpaka mtu wa Mkuranga anakuwa Rais Zanzibar wakati Wazanzibar wenyewe wapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…