Kambi ya Jeshi Gongo la Mboto ihamishwe kijengwe kituo cha basi

Nakushauri nenda pale gongo la mboto halafu omba kuonana na CO wa pale then mueleze haya maneno atakusikiliza maana nawajua wanajeshi ni watu waelewa sana. Tafadhali sana usisahau kuleta mrejesho mzee.
CO hana mamlaka juu ya hiki nilichopendekeza, mwenye mamlaka ni comand inchief.
 
Kiswahili chakijiweni au
 
Wananchi ndio wanalifuata jeshi, uliza wenyeji kati ya kambi na wao nani alitangulia kuwepo..?

Hoja ya kuweka frame kwenye maeneo ya jeshi sio kosa ila wangekusanya hela waweke miradi mikubwa kama mahoteli, malls
Wewe labda umekuja mjini juzi, Gongo la mboto ilikuwa ipo wilaya ya Kisarawe, Dar ilikuwa na wakazi kama million moja hivi, sasa hivi unajuwa Dar ina wakazi wangapi?
Msasaní beach inamilikiwa na jeshi na hatuna tatizo na jeshi kuwa na miradi kama hiyo nje ya kambi za jeshi.
 
Una maana wanajeshi wa Tanzania wanatandika mafremu ya biashara kwenye maeneo yao au?
 
Kati ya Kambi ya Jeshi na Raia katika maeneo hayo ya Gongolamboto nani aliyemsogelea mwenziwe?
 

Tunaweza kujikuta kambi zote zimehamishwa. Kuna kambi zipo around Kibamba/Kibaha. Zamani yalikuwa mapori. Siku hizi ni miji mikubwa.
Nao wahame? Ili iweje sasa?
 

Kimsingi kambi zote za jeshi zinatakiwa kutoka mjini ziende nje kbs, Twalipo (Mgulani) Lugalo, both hosp na 27Kj, MMJ, Kunduchi zote zitoke, hamna threat yyt ya kuacha wanajeshi mjini, Fikiria Lugalo ikitoka na pakapimwa pale na kuweka infrasturure za kibiashara jiji litafunguka namna gani? Hata Makongo 501Kj itoke Ibaki shule tu pale. Ziliwekwa na wajerumani kwa sababu kulikuwa na need na sasa hamna tena tupo miaka zaidi ya 100 tangu waweke so akili za wabongo zitumike sasa badala ya kubaki na plan za mkoloni ambazo zishapitwa na wakati sana. Tuna Staff and Command College inatakiwa kutoa stategists sasa baada ya miaka mingi kuchallenge za wakoloni na kufanya updating. Povu ruksa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…