Natoa wito kwa vyombo vya ulinzi na usalama nchini,Hii ndio sababu sio kila kitu cha kale kinachogunduliwa na wana akiolojia wa sasa ni cha kwali. Vingine viliwekwa ama kuandikwa na machawa wa enzi hizo. Fikiria wana akiolojia wa mwaka 3,000 wakija kuchimbua ushahidi wa kiakiolojia kuhusu siasa za Tanzania wakakutana na maandishi haya, watawalisha jumuiya ya wasomi wa wakati huo upupu kuwa hali ndivo ilivyokuwa
Mzazi wako aliuza ng'ombe kusomesha ng'ombe kusomesha ng'ombe nyingine. Hangaika na matapeli Yako yanayokwenda kuanguka yote. Na wewe Anza kujiandaa mwenyezi mungu ameshaanza kuchukua majinga kama wewe. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisaBaada ya mahesabu ya mgombea uenyekiti wao kugoma kabisa, na kwamba kura za wajumbe wa mkutano mkuu haziko upande wao licha ya kufanya press conferences wiki nzima kwa kutambulisha wajumbe, wenyeviti na makatibu wa chadema feki,
Hivi sasa wanajipanga kuingia ukumbini kwa lengo la kuhakikisha uchaguzi huo haufanyiki kabisa kwa kisingizio cha maandalizi ya udanyanyifu, rushwa kutoka kambi ya mbowe na baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa upande wao kuzuiwa kuingia ukumbini baada ya kutokidhi vigezo vya uthibitisho wa ujumbe wao.
Infact,
Lema na baadhi ya wafuasi wa Lisu mathalani pumbalu, mwaipaya na heche wanaandaa wajumbe feki kutoka maeneo mbalimbali nchini na kujaribu kuwapa uhalali kupitia mitandao ya kijamii na vyombo vya habari, ili hatimae wakifika ukumbini wazuiwe kuingia ili iwe kisingizio cha wao kushindwa na kuvuruga uchaguzi huo.
Mbaya zaidi,
inadaiwa wanajiandaa kuingia ukumbini na silaha mbalimbali ikiwa ni pamoja na nyembe ili kulazimisha mgombea wao ashinde uchaguzi licha ya kutokuungwa mkono na wajumbe wengi wa mkutano mkuu wa chadema Taifa.
Mpaka sasa,
kuna dalili na ishara zote za vurugu na uvunjifu wa amani kwenye uchaguzi wa chadema Taifa wa Jan 21.2025.
Natoa wito kwa vyombo vya ulinzi na usalama nchini kuchukua tahadhari zote na kuchukua hatua muhimu stahiki za kudhibiti hali hiyo kabla ya uharbifu na hali hiyo ya uvunjifu wa amani inayopangwa haijawa mbaya zaidi
Ndugu mdau,
Una maoni gani kwenye hili?π
Mungu Ibariki Tanzania
Baada ya mahesabu ya mgombea uenyekiti wao kugoma kabisa, na kwamba kura za wajumbe wa mkutano mkuu haziko upande wao licha ya kufanya press conferences wiki nzima kwa kutambulisha wajumbe, wenyeviti na makatibu wa chadema feki,
Hivi sasa wanajipanga kuingia ukumbini kwa lengo la kuhakikisha uchaguzi huo haufanyiki kabisa kwa kisingizio cha maandalizi ya udanyanyifu, rushwa kutoka kambi ya mbowe na baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa upande wao kuzuiwa kuingia ukumbini baada ya kutokidhi vigezo vya uthibitisho wa ujumbe wao.
Infact,
Lema na baadhi ya wafuasi wa Lisu mathalani pumbalu, mwaipaya na heche wanaandaa wajumbe feki kutoka maeneo mbalimbali nchini na kujaribu kuwapa uhalali kupitia mitandao ya kijamii na vyombo vya habari, ili hatimae wakifika ukumbini wazuiwe kuingia ili iwe kisingizio cha wao kushindwa na kuvuruga uchaguzi huo.
Mbaya zaidi,
inadaiwa wanajiandaa kuingia ukumbini na silaha mbalimbali ikiwa ni pamoja na nyembe ili kulazimisha mgombea wao ashinde uchaguzi licha ya kutokuungwa mkono na wajumbe wengi wa mkutano mkuu wa chadema Taifa.
Mpaka sasa,
kuna dalili na ishara zote za vurugu na uvunjifu wa amani kwenye uchaguzi wa chadema Taifa wa Jan 21.2025.
Natoa wito kwa vyombo vya ulinzi na usalama nchini kuchukua tahadhari zote na kuchukua hatua muhimu stahiki za kudhibiti hali hiyo kabla ya uharbifu na hali hiyo ya uvunjifu wa amani inayopangwa haijawa mbaya zaidi
Ndugu mdau,
Una maoni gani kwenye hili?π
Mungu Ibariki Tanzania
maandalizi ya fujo ni jambo la hovyo sana kwenye chaguzi za demokrasia π
umesomeshwa ukafaulu kua na mihemko tu gentleman π€£Mzazi wako aliuza ng'ombe kusomesha ng'ombe kusomesha ng'ombe nyingine. Hangaika na matapeli Yako yanayokwenda kuanguka yote. Na wewe Anza kujiandaa mwenyezi mungu ameshaanza kuchukua majinga kama wewe. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
sasa mbona Lema anagawa viwembe kwa wajumbe kuingia navyo ukumbini, au wanaenda kukatana kucha gentleman πFunjo wataleta team MBOWE bila shaka
Sanduku la kura litaamua nani awe mwenyekiti nani awe mjumbe wa kamati kuu
Kamuulize SUMAYE anafahamu maana na uhalisia wa kura ya hapana
Sure,
insongoza kwa utapeli na maandalizi ya ya fujo right?
Hata wewe unamsaliti mtaani wako mbowe?
Maneno Mataamu - Jitahidini kuondoa CCM madalakaniBaada ya mahesabu ya mgombea uenyekiti wao kugoma kabisa, na kwamba kura za wajumbe wa mkutano mkuu haziko upande wao licha ya kufanya press conferences wiki nzima kwa kutambulisha wajumbe, wenyeviti na makatibu wa chadema feki,
Hivi sasa wanajipanga kuingia ukumbini kwa lengo la kuhakikisha uchaguzi huo haufanyiki kabisa kwa kisingizio cha maandalizi ya udanyanyifu, rushwa kutoka kambi ya mbowe na baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa upande wao kuzuiwa kuingia ukumbini baada ya kutokidhi vigezo vya uthibitisho wa ujumbe wao.
Infact,
Lema na baadhi ya wafuasi wa Lisu mathalani pumbalu, mwaipaya na heche wanaandaa wajumbe feki kutoka maeneo mbalimbali nchini na kujaribu kuwapa uhalali kupitia mitandao ya kijamii na vyombo vya habari, ili hatimae wakifika ukumbini wazuiwe kuingia ili iwe kisingizio cha wao kushindwa na kuvuruga uchaguzi huo.
Mbaya zaidi,
inadaiwa wanajiandaa kuingia ukumbini na silaha mbalimbali ikiwa ni pamoja na nyembe ili kulazimisha mgombea wao ashinde uchaguzi licha ya kutokuungwa mkono na wajumbe wengi wa mkutano mkuu wa chadema Taifa.
Mpaka sasa,
kuna dalili na ishara zote za vurugu na uvunjifu wa amani kwenye uchaguzi wa chadema Taifa wa Jan 21.2025.
Natoa wito kwa vyombo vya ulinzi na usalama nchini kuchukua tahadhari zote na kuchukua hatua muhimu stahiki za kudhibiti hali hiyo kabla ya uharbifu na hali hiyo ya uvunjifu wa amani inayopangwa haijawa mbaya zaidi
Ndugu mdau,
Una maoni gani kwenye hili?π
Mungu Ibariki Tanzania
Maneno Mataamu - JitahidiniBaada ya mahesabu ya mgombea uenyekiti wao kugoma kabisa, na kwamba kura za wajumbe wa mkutano mkuu haziko upande wao licha ya kufanya press conferences wiki nzima kwa kutambulisha wajumbe, wenyeviti na makatibu wa chadema feki,