Tetesi: Kambi ya Lissu ikiongozwa na Lema na genge lake yajipanga kuvuruga uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya taifa baada ya kugundua kushindwa vibaya

Hata mbowe anafadhiriwa na hao mabwanyenye na nyie machawa unafikiri ashawatafuna kabla ya kwenda mbinguni huko ulaya
ni kupoteza nguvu kazi ya taifa vijana wetu kurubuniwa ati ufirauni ni haki 🐒
 
Hii ndio sababu sio kila kitu cha kale kinachogunduliwa na wana akiolojia wa sasa ni cha kwali. Vingine viliwekwa ama kuandikwa na machawa wa enzi hizo. Fikiria wana akiolojia wa mwaka 3,000 wakija kuchimbua ushahidi wa kiakiolojia kuhusu siasa za Tanzania wakakutana na maandishi haya, watawalisha jumuiya ya wasomi wa wakati huo upupu kuwa hali ndivo ilivyokuwa
Natoa wito kwa vyombo vya ulinzi na usalama nchini,
kuhakikisha ulinzi wa ndani na nje ya ukumbi wa mlimani City unaimarishwa kesho.

Na magenge ya kihalifu chini ya Lema yanadhibitiwa mapema iwezekanavyo na kutiwa nguvu kwa haraka zaidi.

Ilindeni demokrasia changa ya chadema 🐒
 
Lazima pachimbike kura za mabaraza kote Lisu kashamburuza mbowe harafu mnataka mcheze rafu?
chonde Chonde kubalini matokeo vinginevyo mtatolewa ukumbini na hamtapata faida yoyote,
.Fujo za nini sasa mnapanga ndrugu zango 🐒
 
Baada ya mahesabu ya mgombea uenyekiti wao kugoma kabisa, na kwamba kura za wajumbe wa mkutano mkuu haziko upande wao licha ya kufanya press conferences wiki nzima kwa kutambulisha wajumbe, wenyeviti na makatibu wa chadema feki,

Hivi sasa wanajipanga kuingia ukumbini kwa lengo la kuhakikisha uchaguzi huo haufanyiki kabisa kwa kisingizio cha maandalizi ya udanyanyifu, rushwa kutoka kambi ya mbowe na baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa upande wao kuzuiwa kuingia ukumbini baada ya kutokidhi vigezo vya uthibitisho wa ujumbe wao.

Infact,
Lema na baadhi ya wafuasi wa Lisu mathalani pumbalu, mwaipaya na heche wanaandaa wajumbe feki kutoka maeneo mbalimbali nchini na kujaribu kuwapa uhalali kupitia mitandao ya kijamii na vyombo vya habari, ili hatimae wakifika ukumbini wazuiwe kuingia ili iwe kisingizio cha wao kushindwa na kuvuruga uchaguzi huo.

Mbaya zaidi,
inadaiwa wanajiandaa kuingia ukumbini na silaha mbalimbali ikiwa ni pamoja na nyembe ili kulazimisha mgombea wao ashinde uchaguzi licha ya kutokuungwa mkono na wajumbe wengi wa mkutano mkuu wa chadema Taifa.

Mpaka sasa,
kuna dalili na ishara zote za vurugu na uvunjifu wa amani kwenye uchaguzi wa chadema Taifa wa Jan 21.2025.

Natoa wito kwa vyombo vya ulinzi na usalama nchini kuchukua tahadhari zote na kuchukua hatua muhimu stahiki za kudhibiti hali hiyo kabla ya uharbifu na hali hiyo ya uvunjifu wa amani inayopangwa haijawa mbaya zaidi

Ndugu mdau,
Una maoni gani kwenye hili?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Mzazi wako aliuza ng'ombe kusomesha ng'ombe kusomesha ng'ombe nyingine. Hangaika na matapeli Yako yanayokwenda kuanguka yote. Na wewe Anza kujiandaa mwenyezi mungu ameshaanza kuchukua majinga kama wewe. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
umesomeshwa ukafaulu kua na mihemko tu gentleman 🤣
 
Funjo wataleta team MBOWE bila shaka

Sanduku la kura litaamua nani awe mwenyekiti nani awe mjumbe wa kamati kuu

Kamuulize SUMAYE anafahamu maana na uhalisia wa kura ya hapana
sasa mbona Lema anagawa viwembe kwa wajumbe kuingia navyo ukumbini, au wanaenda kukatana kucha gentleman 🐒
 
Baada ya mahesabu ya mgombea uenyekiti wao kugoma kabisa, na kwamba kura za wajumbe wa mkutano mkuu haziko upande wao licha ya kufanya press conferences wiki nzima kwa kutambulisha wajumbe, wenyeviti na makatibu wa chadema feki,

Hivi sasa wanajipanga kuingia ukumbini kwa lengo la kuhakikisha uchaguzi huo haufanyiki kabisa kwa kisingizio cha maandalizi ya udanyanyifu, rushwa kutoka kambi ya mbowe na baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wa upande wao kuzuiwa kuingia ukumbini baada ya kutokidhi vigezo vya uthibitisho wa ujumbe wao.

Infact,
Lema na baadhi ya wafuasi wa Lisu mathalani pumbalu, mwaipaya na heche wanaandaa wajumbe feki kutoka maeneo mbalimbali nchini na kujaribu kuwapa uhalali kupitia mitandao ya kijamii na vyombo vya habari, ili hatimae wakifika ukumbini wazuiwe kuingia ili iwe kisingizio cha wao kushindwa na kuvuruga uchaguzi huo.

Mbaya zaidi,
inadaiwa wanajiandaa kuingia ukumbini na silaha mbalimbali ikiwa ni pamoja na nyembe ili kulazimisha mgombea wao ashinde uchaguzi licha ya kutokuungwa mkono na wajumbe wengi wa mkutano mkuu wa chadema Taifa.

Mpaka sasa,
kuna dalili na ishara zote za vurugu na uvunjifu wa amani kwenye uchaguzi wa chadema Taifa wa Jan 21.2025.

Natoa wito kwa vyombo vya ulinzi na usalama nchini kuchukua tahadhari zote na kuchukua hatua muhimu stahiki za kudhibiti hali hiyo kabla ya uharbifu na hali hiyo ya uvunjifu wa amani inayopangwa haijawa mbaya zaidi

Ndugu mdau,
Una maoni gani kwenye hili?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Maneno Mataamu - Jitahidini kuondoa CCM madalakani

Sufuria, Kijiko, Umma vya habari mpooo

View: https://youtu.be/l7D3vDD2JV4?si=1xVoVigG4tZ6l6qo
 
Maneno Mataamu - Jitahidini

Back
Top Bottom