Tetesi: Kambi ya Lissu ikiongozwa na Lema na genge lake yajipanga kuvuruga uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya taifa baada ya kugundua kushindwa vibaya

Nina maoni kwamba mleta uzi ana matatizo ya uelewa na akili
kufikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala asubuhi asubuhi kama hivi ni kitu mbaya,

hata hivyo,
fujo kwenye uchaguzi ni ishara ya kushindwa vibaya mapema πŸ’
 
Kama kawaida yenu na kaka Yako Mwashambwa!
 
Wewe ni moja ya wale wanaoosha magari ya ccm pale Lumumba lakini upumbavu wako ni wa kwako mwenyewe huwezi kuusambaza kwa wengine. Bure kabisa ghasia wewe.
 
Kiongozi we hukualikwa kula mapochopocho Dodoma? Naona upoupo sana jf kutwa kucha
 
Hakuna uchaguzi ! Hakuna mshindi!
Mwenyekiti ni yule yule aliyepo!
Chadema tunahitaji amani!
 
Wewe mwehu, hebu punguza post za kumchafua Lissu. Tuletee mambo ya maana
 
Wewe mwehu, hebu punguza post za kumchafua Lissu. Tuletee mambo ya maana
muerevu relax na jifunze kupokea ukweli kama ulivyo bila kuchoka. Hakuna kuvhafuana kwenye ukweli πŸ’
 
Wewe ni moja ya wale wanaoosha magari ya ccm pale Lumumba lakini upumbavu wako ni wa kwako mwenyewe huwezi kuusambaza kwa wengine. Bure kabisa ghasia wewe.
Relax gentleman,
kwahiyo Lema kuandaa watu, nyembe na silaha za jadi kwajili kuvuruga uchaguzi wa chadema ndiyo ujanja, right?πŸ’
 
muerevu relax na jifunze kupokea ukweli kama ulivyo bila kuchoka. Hakuna kuvhafuana kwenye ukweli πŸ’
Kwa siku unafungua thread lukuki kumchafua mtu mmoja. Mpaka unachefua. Hata watu wasiompenda Lissu wanakuona kinyaaa, maana umezidisha chuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…