Tetesi: Kambi ya Lissu ikiongozwa na Lema na genge lake yajipanga kuvuruga uchaguzi wa CHADEMA ngazi ya taifa baada ya kugundua kushindwa vibaya

Adui kashalegeaa kakabwa roba ya shingoni, Lissu atashinda aisee Kwa ushndi wa kishindo
 
Adui kashalegeaa kakabwa roba ya shingoni, Lissu atashinda aisee Kwa ushndi wa kishindo
kwa fujo haiwezekani, lakini kwa kura za wajumbe ni vigumu zaidi haiwezekani kabsaa gentlemanπŸ’
 
unaungua halafu unakaa kimya? huenda dada au kakako yumo mule gentleman πŸ’
Hawa wapuuzi huwa wanahubiri democracy, mara tume huru ya uchaguzi mara katiba mpya huku kwao hawataki kupractise !! Sisi tunawasubiri October 2025 watakuwa wanatoa mlio na hakuna atakayewahurumia .
 
Hawa wapuuzi huwa wanahubiri democracy, mara tume huru ya uchaguzi mara katiba mpya huku kwao hawataki kupractise !! Sisi tunawasubiri October 2025 watakuwa wanatoa mlio na hakuna atakayewahurumia .
unafiki wao una waumbua mchana kweupe πŸ’
 
Asa Lema anaakili gani mpaka asikilizwe? Mtu anataka apewe yenda yakuwachangisha wananchi kisha apewe pande lake huyo si mwizi kama wezi wengine!!
Serikali ipige marufuku wanasiasa kuchangisha hovyo watu hizi nikodi za hovyo... Alafu wanatumia hizo pesa kwamambo ya hovyo kabisa eti join the chain
 
amefanya press conference wiki nzima akiwatambulisha wajumbe feki kwenye vyombo vya habari πŸ’
 
unafiki wao una waumbua mchana kweupe πŸ’
Kabisa mkuu, na hapa vijana wengi wajifunze , wako wapi waking soka, Ben saanane na wengine wengi?

Vijana waliotegemewa na familia zao waligeuzwa chambo cha kunufaisha mwenyekiti wao bila wao kujua wakajitia kimbelembele et wanapigania maisha bora ya watanzania , kumbe mtanzania anayepiganiwa ni Mbowe na familia yake

Vijana tuweni makini sana
 
Kama wanataka kung'olewa meno bila ganzi wake watie fujo tutawachukulia kama vibaka
 
Kama wanataka kung'olewa meno bila ganzi wake watie fujo tutawachukulia kama vibaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…