Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Tuendelee kuwa na kambi wakati hakuna sababu ya kuweka kambi wakati nchi hizo hakuna vitaKwani ulitakaje mkuu?
Uwepo wake una faida kwa taifa, tunapokea malipo kutoka UN,UNICEF na UNHCR kwa kuwapa hifadhi watu hao, pia ni chanzo cha ajira kwa watu wetuTuendelee kuwa na kambi wakati hakuna sababu ya kuweka kambi wakati nchi hizo hakuna vita
nasikia kupata uraia USA pale kambini ni rahisi sanaUwepo wake una faida kwa taifa, tunapokea malipo kutoka UNICEF kwa kuwapa hifadhi watu hao, pia ni chanzo cha ajira kwa watu wetu
Hata Canada na Australia ni rahisi sana kama kumsukuma mlevinasikia kupata uraia USA pale kambini ni rahisi sana
mpaka ufadhili wa masomo na bumu bure kabisa unapata kambiniHata Canada na Australia ni rahisi sana kama kumsukuma mlevi
Basi tena kuvipi wakati mwezi wa 12 ni mwisho kwa wakimbizi hao kuwa nchiniMtoa post hii n biashara kubwa sana kwa wapiga dili wa UN...kupitia mashirika yao kama UNHCR... huko ndo kuna human trafficking, weapon black market znapitia sana kwenye kambi za wakimbizi...pamoja na kuwa center za ukufuzi kwa waaasi wanaoungwa mkono na westerners...
I REMEMBER Magu alisema lazma
zifungwe alipoingia huyu bi kidude ndo basi tena ....
izo kambi vita kuwa ni part ya vitongoji wenyeji ni wakimbizi sasa.utanimbiaBasi tena kuvipi wakati mwezi wa 12 ni mwisho kwa wakimbizi hao kuwa nchini
Cha kushangaza kambi kila kukicha inajaa na chengine zaidi kwa sasa kushakuwa sio kambi ni kijiji ambacho uwezi kuwaondoa washakuwa wenyeji na wazawa sasaWaha wenyewe walishatoka vijijini wanaishi makambini Kwa kujifanya wakimbizi ili wanufaike na mgao WA chakula bure kila wiki.
Imeshakuwa ni kijiji na watu wake kama vijana wamezagaa mikoani wanaona kama wazawa na wala hakuna shida .jiji la mwanza wamejaa sanaMfano kambi ya nyarugusu iliyoko maker
Baba yake kibu Denis Yule mrundi anaishi hapa na watu wanajua. Serikali yetu ni onevu Sana Kwa wananchi wake....inapendelea Sana wageniImeshakuwa ni kijiji na watu wake kama vijana wamezagaa mikoani wanaona kama wazawa na wala hakuna shida .jiji la mwanza wamejaa sana