CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 12,134
- 27,519
Hii ndio kauli ya kupelekea mtu kukamatwa na polisi??Ile kauli ya kusema "Rais Huyu Mtu wake aliyemtuma huku" ilikua na ukakasi mkubwa sanaa. Naona kijana alikua anakosoa teuzi ya Rais.
Hawa wasemaji watajifunza kuchunga ndimi zao
Nchi za matakoni mwa dunia kiuchumi ndivyo zilivyo. Sijui hawaangalia hata press za wenzetu huko majuu? Mtu anampa makavu raisi liveHii ndio kauli ya kupelekea mtu kukamatwa na polisi??
Soma vizuri kuepuka kuuliza vitu vilivyomo ndani ya habari. Siku nyingine usiishie tena kusoma kichwa cha habari peke yake.Kosa lake nini?
Nadhani hapo ndipo alipojichanganya kufananisha uhuru uliopo majuu na hapa bongolandNchi za matakoni mwa dunia kiuchumi ndivyo zilivyo. Sijui hawaangalia hata press za wenzetu huko majuu? Mtu anampa makavu raisi live
Kama mkuu wa mkoa ameamua kuwa shabiki wa soka then avumilie changamoto zake otherwise abakie na majukumu yake ya kiserikaliAfisa habari wa Klabu ya Yanga Ally Kamwe Akamatwa usiku wa manane huko Tabora.
Chanzo cha Kukamatwa kwake ni kutoa Lugha chafu kwa viongozi wa Mkoa.
Ameshikiriwa kwa Mahojiano Maalum.
RPC Tabora amethibitisha
“Nathibitisha tunamshikilia msemaji wa Yanga Ali kamwe, tunamshutumu kwa kutoa kauli mbaya dhidi ya viongozi wa Serikali, tunaendelea na mahijiano nae na tutatoa taarifa” Richard Abwao - Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora
View attachment 3291826
Ali Kamwe kushoto akiwa na RC Tabora
NdiyoUzi tayari.