Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,353
- 62,400
Endelea kucheka cheka kwa Emoji tu siku nyingine usitolee maelezo mambo ya kisheria na hicho ki infix chako😂😂😂 Mwanasheria wa NIT.... Hizo kauli alizotoa ni zipi?, Aliyeanza kutoa kauli za kichochezi ni nani?. Mkuu wa mkoa kutoa shutuma ya rushwa dhidi ya Yanga sio uchochezi dhidi ya wapenda mpira?. Punguza mihemko