'Kamdomo kamponza Ally Kamwe..' Polisi Tabora yathibitisha kumshikilia

'Kamdomo kamponza Ally Kamwe..' Polisi Tabora yathibitisha kumshikilia

😂😂😂😂 wapuuzi tu .... Yaan mkuu wa mkoa atoe shutuma dhidi ya Yanga afu Alli Kamwe amjibu kwa kauli laini?. Wanaopoteza muda wao hao polisi... Wanashindwa kutatua mambo ya msingi kwa jamii anajiingiza kwenye mambo ya mpira usiowahusu?.
Kwahiyo mtu akiajiriwa kwenye timu za mpira akafanya kosa la jinai polisi hawaruhusiwi kuingilia kisa watakua wanaingilia mpira?
 
Dogo hana tatizo...

Tatizo lipo kwa hao waliompa kazi pasipo kupima afya ya akili yake ilivyo.

Mwacheni kijana aliyelelewa na single parent awanyooshe utopwinyo 😂
Acha kuhusisha mama za watu na mambo ya mpira.... Usingle maza wa mama yake unahusikaje hapa... Unatokonyolewa wewe .bata
 
Wote wanaotetea huyo dogo nao watakuwa punguani. Aliwahi kumfananisha Mgunda na andazi. Huyu dogo hana nidhamu. Kifupi amepata alivyokuwa anatafuta.
 
Unajua kosa la jinai ni lipi?, Na kosa alilokamatiwa Kamwe ni lipi?. Umeshirikisha ubongo kuuliza au umechemka kwasababu unahema?.
Madogo mkishapata hela ya kununua smartphone na kuweka Bundle basi mnajifanya wanasheria

Ali kamwe kavunja sheria kwa kutoa maneno ya chuki na kudharau uteuzi wa Rais ambayo ni mamlaka halali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.

Hiyo ni Nia ya kufanya uchochezi na ni jinai kwa mijibu wa Section 55(a) Cap 16 R.E 2022
 
😂😂😂 Mwanasheria wa NIT.... Hizo kauli alizotoa ni zipi?, Aliyeanza kutoa kauli za kichochezi ni nani?. Mkuu wa mkoa kutoa shutuma ya rushwa dhidi ya Yanga sio uchochezi dhidi ya wapenda mpira?. Punguza mihemko
 
Back
Top Bottom