Umkonto umsizwe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2023
- 527
- 1,136
Hawo wanaosema hana kosa madish yameyumbaAli Kamwe ana tatizo la kisaikilojia ni WA kumsaidia.😔. Waliomzunguka ambao ni mashabiki wanasema hajafanya kosa ndio wanaompa kichwa.
Hawo wanaosema hana kosa madish yameyumbaAli Kamwe ana tatizo la kisaikilojia ni WA kumsaidia.😔. Waliomzunguka ambao ni mashabiki wanasema hajafanya kosa ndio wanaompa kichwa.
Ndivyo walivyo 🐸🐸Hawo wanaosema hana kosa madish yameyumba
Hapo hakuna kosa. Ni kweli alikuwa anawachokonoa kwa kuhamasisha timu kwa kauli kuwa wana kiheleheleIle kauli ya kusema "Rais, Huyu Mtu wake aliyemtuma huku anatuchokonoa" ilikua na ukakasi mkubwa sanaa. Naona kijana alikua anakosoa teuzi ya Rais.
Hawa wasemaji watajifunza kuchunga ndimi zao
Hapo kosa lake ni nini?Tujikumbushe tena ulimi wa dogo ulivyo fanya....
🗣“Tunamwambia mama huyu mtu wake aliyemtuma anatuchokonoa, anaitwa nani? Paul Chacha? Atachacha kweli, nimeona amekaa pale na shati lake la ubatizo ametoa ahadi ya mil. 60 kwa Wachezaji wa Tabora, sijui kwenye kile kikao kama hata chai wamekunywa.”
Suala sio swalaWasisahau kulifikisha CAS hili swala.
Mtoto hawezi ona kosa lolote hapo kwa sababu ni utoto umejaa kwa ubongo wake.Hapo kosa lake ni nini?
Ndio maana hawezi kumpeleka mahakamani
Angekuwa hana kosa asingelala selo 😂😂😂Hapo hakuna kosa. Ni kweli alikuwa anawachokonoa kwa kuhamasisha timu kwa kauli kuwa wana kihelehele
Una hakika kuwwa kulala selo huwa lazima una makosa. Tema mate chini, huzijui serkali za KiafrikaAngekuwa hana kosa asingelala selo 😂😂😂
Nakubaliana na wewe MamaHuyu kakosa malezi ya Baba.kuwakashfu wanaume wakubwa kama Mgunda na huyu Mkuu WA Mkoa nafikiria anapata faraja Sana na kufidia maumivu na kuachwa na Baba.
Povu la nini? kijana kalala selo na hajalalamika kama kaonewa, wewe ni nani hadi utoe povu kuwa Kamwe kaonewa?Una hakika kuwwa kulala selo huwa lazima una makosa. Tema mate chini, huzijui serkali za Kiafrika
Povu la nini? kijana kalala selo na hajalalamika kama kaonewa, wewe ni nani hadi utoe povu kuwa Kamwe kaonewa?
Chacha aheshiwe
Umezalishwa watoto wangapi?Naitwa mama Boke😄
Mi sijui unajua mwenyewe. Kwani ni baba tofauti?😄Nimezalishwa watoto wengii?
Kwa hiyo unataka mtoto wa 6?Mi najua unajua kabisa we ni baba wa Mtoto wangu wa 5
Sitaki dangaKwa hiyo hutaki kunipa mtoto wa 6?
Nimeamua umalaya