'Kamdomo kamponza Ally Kamwe..' Polisi Tabora yathibitisha kumshikilia

Unapimaje maneno kwenye utani wa mpira wewe? yeye chacha alikuwa anaongea kama mshabiki akajibiwa kishabiki siyo kama RC. Baada ya kujibiwa akavaaa koti la U- RC yale yale ya nkurunzinza ANACHEZA MPIRA NA WENZAKE HATAKI KUKABWA

Mpira hauna utani ndugu na Sayansi ile.
Na yeye Kamwe Avae koti la usemaji wake wa Yanga tuone nguvu yake.
 
Inawezekana kabisa polisi wa nchi yetu ya Burundi hawana kazi za kufanya.

Lakini pia ni wakati muafaka kwa sisi wananchi kuvikataa hivi vyeo vya Wakuu wa Mikoa na Wilaya. Maana havina umuhimu wowote ule kiasi cha hao wahusika kujikuta hawana kazi za kufanya! Na hivyo kuamua kujigeuza kuwa wachekeshaji, nk.
 
Kwa kuwa tumekubali timu zetu za mpira wa miguu hapa Tanzania, kuwa na wasemaji ambao si wataalamu, basi hayo maneno ya Kamwe ndizo kauli tunazotegemea kusikia kutoka kwao.
 
Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe akamatwa usiku wa manane huko Tabora.

Chanzo cha Kukamatwa kwake ni kutoa Lugha chafu kwa viongozi wa Mkoa.

Ameshikiliwa kwa Mahojiano Maalum.

RPC Tabora amethibitisha

“Nathibitisha tunamshikilia Msemaji wa Yanga, Ali kamwe, tunamshutumu kwa kutoa kauli mbaya dhidi ya viongozi wa Serikali, tunaendelea na mahijiano nae na tutatoa taarifa,” Richard Abwao - Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora.

View attachment 3291894
==================​

Polisi Mkoani Tabora imethibitisha kumshikilia Afisa habari wa Yanga Ali Kamwe.

Kamanda wa Polisi Tabora Richard Abwao amethibitisha kushikiliwa kwa Ali Kamwe na Polisi huku tuhuma zake zikitajwa ni kutoa lugha chafu kwa viongozi wa Serikali.

Kamwe alikuwa na timu yake ya Yanga Tabora kwa mchezo dhidi ya Tabora United ambayo ilimalizika jana kwa Yanga kushinda mabao 3-0.

Kabla ya Mchezo Kamwe anatajwa kuzozana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Paul Matiko Chacha katika kile kilichotajwa kuwa alikuwa akijibu alichosema RC huyo kuwa Yanga wamekuja na kiherehere mkoani mwake.

View attachment 3291826
Ali Kamwe kushoto akiwa na RC Tabora​
Hao watu wenye majina ya Marwa, Chacha huwa wanaongozwa na mihemko sana .
 
waendelee kumshikilia mpaka sisi viongozi wa Yanga tutakapowaambia wamruhusu. Kwasasa aendelee kunyea kwenye ndoo na kula ugali na maharage ya mahabusu hapo Tabora ili akitoka awe na heshima kwa wakubwa
 
Nilichogundua Bongo mtu ikionekana kashikiliwa na jeshi la polisi inakuwa kama vile sijui Yuko sehemu hatar sana, kwenda polisi ichukuliwe kama ni jambo la kawaida tu
 
Eti wanaojua sheria😂😂 Unamwambia Rais huyu mtu wake aliemtuma huku anatuchokonoa.

Kuna muda hawa wasemaji wanaona wako juu ya sheria kisa ujinga wa mashabiki wao,
Ali kamwe ni raia na rais ni mwajiriwa wa raia wa nchi husika je kama raia anakosa haki ya kutoa maoni na malalamiko kwa mwajiriwa wake ambae ni Rais!!
 
Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe akamatwa usiku wa manane huko Tabora.

Chanzo cha Kukamatwa kwake ni kutoa Lugha chafu kwa viongozi wa Mkoa.

Ameshikiliwa kwa Mahojiano Maalum.

RPC Tabora amethibitisha

“Nathibitisha tunamshikilia Msemaji wa Yanga, Ali kamwe, tunamshutumu kwa kutoa kauli mbaya dhidi ya viongozi wa Serikali, tunaendelea na mahijiano nae na tutatoa taarifa,” Richard Abwao - Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora.

View attachment 3291894
==================​

Polisi Mkoani Tabora imethibitisha kumshikilia Afisa habari wa Yanga Ali Kamwe.

Kamanda wa Polisi Tabora Richard Abwao amethibitisha kushikiliwa kwa Ali Kamwe na Polisi huku tuhuma zake zikitajwa ni kutoa lugha chafu kwa viongozi wa Serikali.

Kamwe alikuwa na timu yake ya Yanga Tabora kwa mchezo dhidi ya Tabora United ambayo ilimalizika jana kwa Yanga kushinda mabao 3-0.

Kabla ya Mchezo Kamwe anatajwa kuzozana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Paul Matiko Chacha katika kile kilichotajwa kuwa alikuwa akijibu alichosema RC huyo kuwa Yanga wamekuja na kiherehere mkoani mwake.

View attachment 3291826
Ali Kamwe kushoto akiwa na RC Tabora​
Mimi nadhani hawa Wakuu wa Mikoa wanatakiwa kuwa na mipaka, wao ni walezi wa timu, basi wabakie kuwa walezi wa timu,wasijiingize kuwa wasemaji wa timu! Klabu zina viongozi wake ,wabakie na majukumu yabkuisemea timu kwenye mambo ya utendaji ya kila siku ya timu, inavyo tokea Mkuu wa Mkoa akaacha majukumu yake ,akaamua kuwa msemaji wa timu, inatakiwa ajue kwamba atajibiwa kama msemaji wa timu sio Mkuu wa Mkoa ,atazodolewa kama wasemaji wa timu wanavyo zodoana, kama anadhani hataki kudhalilishwa nasi abaki katika nafasi yake ya ukuu wa Mkoa akiamua kujishusha kuwa msemaji wa timu akubaliane na atakayo kutana nayo kama msemaji wa timu!

Mkuu wa Mkoa alijibiwa kama msemaji wa timu kwakua alijivisha nafasi hiyo!

Kumkamata Ali Kamwe ni matumizi mabaya ya madaraka!
 
Nadhani hapo ndipo alipojichanganya kufananisha uhuru uliopo majuu na hapa bongoland
Hii ni tz jamani sio majuu
Wakuu wa mikoa na wilaya waziache timu za mpira zijitegemee. Ushawahi kusikia mkuu wa Dsm kaishabikia simba au Yanga dhidi Costal unioni?
 
Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe akamatwa usiku wa manane huko Tabora.

Chanzo cha Kukamatwa kwake ni kutoa Lugha chafu kwa viongozi wa Mkoa.

Ameshikiliwa kwa Mahojiano Maalum.

RPC Tabora amethibitisha

“Nathibitisha tunamshikilia Msemaji wa Yanga, Ali kamwe, tunamshutumu kwa kutoa kauli mbaya dhidi ya viongozi wa Serikali, tunaendelea na mahijiano nae na tutatoa taarifa,” Richard Abwao - Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora.

View attachment 3291894
==================​

Polisi Mkoani Tabora imethibitisha kumshikilia Afisa habari wa Yanga Ali Kamwe.

Kamanda wa Polisi Tabora Richard Abwao amethibitisha kushikiliwa kwa Ali Kamwe na Polisi huku tuhuma zake zikitajwa ni kutoa lugha chafu kwa viongozi wa Serikali.

Kamwe alikuwa na timu yake ya Yanga Tabora kwa mchezo dhidi ya Tabora United ambayo ilimalizika jana kwa Yanga kushinda mabao 3-0.

Kabla ya Mchezo Kamwe anatajwa kuzozana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Paul Matiko Chacha katika kile kilichotajwa kuwa alikuwa akijibu alichosema RC huyo kuwa Yanga wamekuja na kiherehere mkoani mwake.

View attachment 3291826
Ali Kamwe kushoto akiwa na RC Tabora​
Kama ni kweli utakuwa ni uonevu live. Mbona yeye hajalamatwa na kuhojiwa na Takukuru issue ya wachezaji wake kupokea sms za miamala ya fedha ili wacheze chini ya kiwango?
Madogo mkishapata hela ya kununua smartphone na kuweka Bundle basi mnajifanya wanasheria

Ali kamwe kavunja sheria kwa kutoa maneno ya chuki na kudharau uteuzi wa Rais ambayo ni mamlaka halali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.

Hiyo ni Nia ya kufanya uchochezi na ni jinai kwa mijibu wa Section 55(a) Cap 16 R.E 2022
Kama wanajijua wao ni wateule wa Raisi na wanahitaji kuheshimiwa wasijiingize kwenye mambo ya mipira . Huku watuache wenyewe tunovumiliana.
Mwambie aache kutumia mamlaka vibaya bhn.
 
Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe akamatwa usiku wa manane huko Tabora.

Chanzo cha Kukamatwa kwake ni kutoa Lugha chafu kwa viongozi wa Mkoa.

Ameshikiliwa kwa Mahojiano Maalum.

RPC Tabora amethibitisha

“Nathibitisha tunamshikilia Msemaji wa Yanga, Ali kamwe, tunamshutumu kwa kutoa kauli mbaya dhidi ya viongozi wa Serikali, tunaendelea na mahijiano nae na tutatoa taarifa,” Richard Abwao - Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora.

View attachment 3291894
==================​

Polisi Mkoani Tabora imethibitisha kumshikilia Afisa habari wa Yanga Ali Kamwe.

Kamanda wa Polisi Tabora Richard Abwao amethibitisha kushikiliwa kwa Ali Kamwe na Polisi huku tuhuma zake zikitajwa ni kutoa lugha chafu kwa viongozi wa Serikali.

Kamwe alikuwa na timu yake ya Yanga Tabora kwa mchezo dhidi ya Tabora United ambayo ilimalizika jana kwa Yanga kushinda mabao 3-0.

Kabla ya Mchezo Kamwe anatajwa kuzozana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Paul Matiko Chacha katika kile kilichotajwa kuwa alikuwa akijibu alichosema RC huyo kuwa Yanga wamekuja na kiherehere mkoani mwake.

View attachment 3291826
Ali Kamwe kushoto akiwa na RC Tabora​
Alivyokumbatiana na RC alijua yameisha kumbe Dola iko pale pale.
 
HATIMAYE ALLY KAMWE SHAABAN AMEACHIWA HURU.
VIJANA MNA MENGI YA KUJIFUNZA.
ULIMI NI KAA LA MOTO.
UTUMIENI ULIMI VIZURI NI KIUNGO KIDOGO SANA CHENYE MADHARA MAKUBWS SANA.

BIBLIA INAFANANISHA ULIMI NA NJITI YA KIBERITI YENYE UWEZO WA KUTEKETEEZA PORI KUBWA SANA.
 
Tujikumbushe tena ulimi wa dogo ulivyo fanya....

🗣“Tunamwambia mama huyu mtu wake aliyemtuma anatuchokonoa, anaitwa nani? Paul Chacha? Atachacha kweli, nimeona amekaa pale na shati lake la ubatizo ametoa ahadi ya mil. 60 kwa Wachezaji wa Tabora, sijui kwenye kile kikao kama hata chai wamekunywa.”
 
Ile kauli ya kusema "Rais, Huyu Mtu wake aliyemtuma huku anatuchokonoa" ilikua na ukakasi mkubwa sanaa. Naona kijana alikua anakosoa teuzi ya Rais.
Hawa wasemaji watajifunza kuchunga ndimi zao
Huyu kakosa malezi ya Baba.kuwakashfu wanaume wakubwa kama Mgunda na huyu Mkuu WA Mkoa nafikiria anapata faraja Sana na kufidia maumivu na kuachwa na Baba. Ni tatizo la kisaikilojia asaidiwe. MTU mwenye Baba Kwa namna YOYOTE Ile hawezi kumfananisha MTU mwenye umri WA Baba yake na 'andazi'. Mashabiki WA Yanga endeleeni kumpa kichwa😔
 
Ile kauli ya kusema "Rais, Huyu Mtu wake aliyemtuma huku anatuchokonoa" ilikua na ukakasi mkubwa sanaa. Naona kijana alikua anakosoa teuzi ya Rais.
Hawa wasemaji watajifunza kuchunga ndimi zao
Kwani rais ni Mungu asiyekosea?
 
Back
Top Bottom