Kamera za ulinzi kufungwa Kariakoo kwa gharama ya Tsh Milioni 514

Nimejaribu kuangalia latest CCTV cameras price kwa market, nimepata ni maximum 1million, ukiweka installation cost na materials zake na ufundi, let's camera moja inaweza kufungwa kwa 3m kwahio ni 3,000,000 zidisha kwa 40= unapata million 540 hahahahhaahahah
 
Hao bora ya wanawake, kila kitu kulalamika. Atuambie gharama kiasi gani inahitajika. Ndio maana wanaitwa nyumbu
 
Kozi nzuri ni PROCUREMENT AND SUPPLY.Hakika pesa zinapigwa.
 
Mkuu kwa mchanganuo na ufafanuzi wa aina hii unaondoa mashaka na sintofahamu kwa wananchi. Hongera sana Mkuu, umeeleweka!!
 
WIZI MZURI NI USEME TUTAFUNGA KAMERA KARIAKOO YOTE KWA THAMANI YA SHS BILIONI MOJA, USITAJE IDADI YA KAMERA, HUU TUNAUITA UIZI MZURI, LAKINI UNAPOTAJA NA IDADI YA KAMERA HAPO NDIPO UNAKOSEA
 
Tuombe iwe hivyo maana
Ya mbele yanaweza kutufurahisha

Ova

Itakuwa vizuri maana kufunga camera bila surveillance/Monitoring zinakuwa hazina maana ,waweke zile ambazo zinachukua hadi Audio/Voice ila kwa K/kooo kufunga camera 40 naona kama chache sana.
 
Akizungumza baada ya kusaini makubaliano hayo Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amesema lengo la mpango huo ni kuimarisha usalama wa wanachi na wafanyabiashara na kuongeza ufanisi wa shughuli za kibiashara
Tatizo la hii mifumo ni maintenance... ukarabati!!! Security camera zipo Msamvu pale....nenda kaulize...halafu kakague mifumo na miundombinu ya Stendi Ile ! Kama ni mzalendo wa nchi chozi litadondoka lakini kama ni mamluki utawasifia wahusika!!!
 
Kiongozi nadhani ingekuwa vyema ungetuambia model ya hizo camera. Baada ya hapo ndo tungepata pa kuanzia maana system za CCTV zipo kuanzia elfu 50- 30ml.
 
Kamera moja ni zaidi ya sh. 12,000,000/-
 
Hizi camera zikinunuliwa kwa wingi bei pia inashuka..ila naona ni mwendo wa kuzidisha sifuri,.
 
kariako Kuna uhalifu Gani wa kufunga kamera 40,majitu majizi
 
Z
Ni jambo la uzuri kuweka hapa mchanganuo wote na proposal ilopelekea huyo mzabuni kushinda zabuni.

Pia hata tukifahamu gharama ya kamera moja.

Nani atasimamia hizo CCTV masaa 24?

Ujuzi wao kusimamia CCTV na kadhalika.
Zile za Dodoma kwa Tundu Lissu zilisaidia nini kuwabaini wahalifu ???!!!
 
Kwani mkuu uhalisia camera 40 inatakiwa zifungwe kwa sh. Ngapi?, utaalamu wako
 
Are these water resistance
cameras

What about the cost of CCTV monitoring room and gadgets
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…