Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimesahau hii ngoma ya pig 🐖 black 🐒NINI MNATAKA MAZEEEEEEEEEEE.....................................
Hizo pesa ni ndogo sana. Kwa Camera arobaini?
Hivi mnataka waweke camera za aina gani hapo Kariakoo? CutePanda? Ring doorbell camera?
=============
Hivi bakresa ametumia kiasi gani cha pesa kufunga cctv camera azam tv? Acheni utani.
Hizo sio kamera kama unazotembea nazo shingoni kwenye ubatizo na kipaimara kupiga picha watotoKatika kuhakikisha biashara zinafanyika saa
24, Jiji la Dar es Salaam limeingia mkataba na Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unaogharimu jumla ya shilingi milioni 514 wa usimikaji wa mifumo ya kamera za ulinzi katika barabara na maeneo ya Kariakoo ambapo jumla ya kamera 40 zitakazofanya kazi kwa saa 24 zitafungwa katika awamu ya kwanza ya mpango huo kwa ajili ya ufuatiliaji wa hali ya usalama na udhibiti wa matukio ya kihalifu.
Akizungumza baada ya kusaini makubaliano hayo Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amesema lengo la mpango huo ni kuimarisha usalama wa wanachi na wafanyabiashara na kuongeza ufanisi wa shughuli za kibiashara.
Amesema, kamera hizo hizo zitasaidia kurahisisha utambuzi wa matukio, kuimarisha ufuatiliaji wa wahalifu na kutoa ushahidi wa haraka inapohitajika.
My take:
Hawa watu wanaliibia sana hili Taifa na ifike wakati wenye akili kwenye vyombo vya dola waungane na Wananchi Wazalendo wachukuliwe hatua.
Baada ya Wizi mkubwa uliofanywa kwa kuongeza gharama za ujenzi wa viwanja vya michezo, leo umesainiwa mkataba kufunga Kamera 40 tu Kariakoo kwa gharama ya milioni 514.
Acha niendelee kuwaamini CHADEMA kuwa No Reform No Election. Nchi hii inaibiwa sana
View attachment 3240972
Lazima waweke kamera za kufanya kazi muda wote hata mvua zikinyeshaKatika kuhakikisha biashara zinafanyika saa

Local purchase order inageuka kuwa Late payment orderwakuu huwa mnasahau hizo tender za serikali huwa zina VAT, kuna labour charge, transport cost, overheads, kucheleweshewa malipo etc, kwa hio msiangalie bei ya kifaa tu, plus na hayo makorokoro.
Kwa hiyo talalatalala ni mjinga au mwehu??jibu tafadhali.Yan ni mtu mjinga na mpumbavu ndio atakubaliana na hilo
Usalama gani wa raia unao ongelea kenge wewe wakati mnateka raia na kuwaua!? CCM mnacho kiweza ni wizi tu , na mnapo iba mnapenda kusafiria nyota ya wananchinadhani ilifaa kua 1 billion kabisa,
kwasababu usalama wa Taifa na wananchi wake ni muhimu sana na gharama yake haipimwi kwa fedha
ni muhimu ikafahamika kwamba kwa nguvu na gharama yoyote ile usalama wa waTanzania utazingatiwa na serikali sikivu ya CCM gentleman bila mbambamba yoyote![]()
relax basi nyumbu,Usalama gani wa raia unao ongelea kenge wewe wakati mnateka raia na kuwaua!? CCM mnacho kiweza ni wizi tu , na mnapo iba mnapenda kusafiria nyota ya wananchi
Kweli kabisa kwa uwezo wa kamera zilizoonyeshwa hapo uharifu na waharifu wataisha kabisa maana zina uwezo wa kushuka na kumkamata mharifu na kumpelekea mali zake mwathirika wa uhalifu bila kuhusisha askari, kwa kamera moja kununuliwa kwa milioni 12.85 ni bei ndogo sana kulinganisha na ufanyaji kazi wake. Hongera sana watanzania kwa kujaliwa kupata viongozi wanao wapigania kwa kujitoa.pesa haina maana wala thamani yoyote kwenye kulinda uhai na maisha ya watu hususani kwenye maene ya makazi na biashara za wananchi gentleman,
hakuna mbamabamba kwenye hilo.
halafu ni vizuri wananchi kuepuka na undumilakuwile,
mtu akifa mnlalamika,
usalama wa watu na makazi yao ukiimarishwa mnlalamika,
nini sasa mnataka?![]()
😂😂😂 na kweli mkuu ingekuwa lu👊 hiyo ingeenda..Kikubwa zifungwe tu 😄
Maana nnavyowajua jamaa
Wanaweza wakwala hela na kamera zisifungwe....
Ova
Haukuna matengenezo,?kila kamera moja pamoja na post yake milioni 10 chenji inayobaki milioni 100 na ushee ni kwaajili ya cable, kustore data n.k nazani tumeelewana pesa itakavyotumika.
This is insane!Katika kuhakikisha biashara zinafanyika saa
24, Jiji la Dar es Salaam limeingia mkataba na Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unaogharimu jumla ya shilingi milioni 514 wa usimikaji wa mifumo ya kamera za ulinzi katika barabara na maeneo ya Kariakoo ambapo jumla ya kamera 40 zitakazofanya kazi kwa saa 24 zitafungwa katika awamu ya kwanza ya mpango huo kwa ajili ya ufuatiliaji wa hali ya usalama na udhibiti wa matukio ya kihalifu.
Akizungumza baada ya kusaini makubaliano hayo Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amesema lengo la mpango huo ni kuimarisha usalama wa wanachi na wafanyabiashara na kuongeza ufanisi wa shughuli za kibiashara.
Amesema, kamera hizo hizo zitasaidia kurahisisha utambuzi wa matukio, kuimarisha ufuatiliaji wa wahalifu na kutoa ushahidi wa haraka inapohitajika.
My take:
Hawa watu wanaliibia sana hili Taifa na ifike wakati wenye akili kwenye vyombo vya dola waungane na Wananchi Wazalendo wachukuliwe hatua.
Baada ya Wizi mkubwa uliofanywa kwa kuongeza gharama za ujenzi wa viwanja vya michezo, leo umesainiwa mkataba kufunga Kamera 40 tu Kariakoo kwa gharama ya milioni 514.
Acha niendelee kuwaamini CHADEMA kuwa No Reform No Election. Nchi hii inaibiwa sana
View attachment 3240972
Mwehu kabisaKwa hiyo talalatalala ni mjinga au mwehu??jibu tafadhali.
Ilitakiwa iwe shilingi ngapi mtaalam wa camera za usalama?Katika kuhakikisha biashara zinafanyika saa
24, Jiji la Dar es Salaam limeingia mkataba na Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unaogharimu jumla ya shilingi milioni 514 wa usimikaji wa mifumo ya kamera za ulinzi katika barabara na maeneo ya Kariakoo ambapo jumla ya kamera 40 zitakazofanya kazi kwa saa 24 zitafungwa katika awamu ya kwanza ya mpango huo kwa ajili ya ufuatiliaji wa hali ya usalama na udhibiti wa matukio ya kihalifu.
Akizungumza baada ya kusaini makubaliano hayo Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amesema lengo la mpango huo ni kuimarisha usalama wa wanachi na wafanyabiashara na kuongeza ufanisi wa shughuli za kibiashara.
Amesema, kamera hizo hizo zitasaidia kurahisisha utambuzi wa matukio, kuimarisha ufuatiliaji wa wahalifu na kutoa ushahidi wa haraka inapohitajika.
My take:
Hawa watu wanaliibia sana hili Taifa na ifike wakati wenye akili kwenye vyombo vya dola waungane na Wananchi Wazalendo wachukuliwe hatua.
Baada ya Wizi mkubwa uliofanywa kwa kuongeza gharama za ujenzi wa viwanja vya michezo, leo umesainiwa mkataba kufunga Kamera 40 tu Kariakoo kwa gharama ya milioni 514.
Acha niendelee kuwaamini CHADEMA kuwa No Reform No Election. Nchi hii inaibiwa sana
View attachment 3240972
Ili huu mjadala uwe na maana, hebu tufanye uchambuzi mdogo hapa kwa bei na gharama za soko zilizopo kwa sasa. Hii itasaidia kupima kwa uhakika.Katika kuhakikisha biashara zinafanyika saa