Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Serekare ikiamua imeamua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serekare ikiamua imeamua
Kwani Serikali inanunua huko Alibaba? 🤣🤣Kwa sababu kwa mujibu wa Page maarufu ya Alibaba gharama za Traffic CCTV camera 1 tu haifiki hata laki 7
Sasa ukiweka gharama kila kitu na ufundi kwa Camera 40 hardly hata Mil 50 ni nyingi sana.
View attachment 3240996
Hardly gharama ya kufunga hizo Camera 40 haiwezi kuzidi Mil 50 na hapo nimeweka faida kubwa sana.Mkuu, upo sahihi, harufu ni kali sana ya upigaji, ila sasa hizi bado ni siasa maana serikali haifanyi manunuzi Alibaba, ina taratibu na yule anayeshinda ndo anapewa tenda.
Embu fanya kama vile unaomba Tenda, tutumie quotation mpaka mradi unakamilika ungetumia kiasi gani na kwanini.
Lord denning camera Ltd. (Ldc)
Kikubwa hapo wazifunge waache janjajanjaHawa jamaa inatakiwa kuwapinga kwa hoja..
Navyojua mimi kama zitafungwa Camera zenye brand hizi kubwa kwenye Camera hiyo pesa ni sahihi ila kama zitafungwa Camera zozote hapo ni tatizo maana kati ya vitu vilivyo na gharama kubwa ni pamoja na Camera na hasa hizi za Mtaani..
Tuombe iwe hivyo maanaView attachment 3241011
You see 'em blue lights in the air, cameras everywhere,We don't give a fvck, we still tipping.
View attachment 3241012
LAPD - 24/7 Surveillance
=========
Labda kama watafanya kama Chicago ,including Monitoring inaweza kufika hizo cost.
Nzuri hii. Nimeipendanadhani ilifaa kua 1 billion kabisa,
kwasababu usalama wa Taifa na wananchi wake ni muhimu sana na gharama yake haipimwi kwa fedha
ni muhimu ikafahamika kwamba kwa nguvu na gharama yoyote ile usalama wa waTanzania utazingatiwa na serikali sikivu ya CCM gentleman bila mbambamba yoyote![]()
Ntu analeta hoja ya msingi! Badala ya kutoa ufafanuzi kama unao, wa kwa nini gharama ni kubwa sana! Wewe unaleta taarabu. Mifi wewe.Umoja, amani na utulivu wa waTanzania wote Taifa katika kila kona na pembe ya nchi yetu, vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote bila kujali kelele au mdomo wa kibaka au tapeli yoyote wa kisiasa nchini.![]()
Haya bossHardly gharama ya kufunga hizo Camera 40 haiwezi kuzidi Mil 50 na hapo nimeweka faida kubwa sana.
Gentleman,Ntu analeta hoja ya msingi! Badala ya kutoa ufafanuzi kama unao, wa kwa nini gharama ni kubwa sana! Wewe unaleta taarabu. Mifi wewe.
Tafuteni exposure, hamjui kitu mnapayuka kama masokwe.Hardly gharama ya kufunga hizo Camera 40 haiwezi kuzidi Mil 50 na hapo nimeweka faida kubwa sana.
Unashangaa camera moja kuuzw mil 12? Kweli hii nchi washamba ni wengi sana.Yaani camera moja ni sh 12,850,000/=. Ccm wameamua kuiba pesa za umma bila aibu.
Wanechelewa washuke zanzibar wakirud watasema hyo kidogonadhani ilifaa kua 1 billion kabisa,
kwasababu usalama wa Taifa na wananchi wake ni muhimu sana na gharama yake haipimwi kwa fedha
ni muhimu ikafahamika kwamba kwa nguvu na gharama yoyote ile usalama wa waTanzania utazingatiwa na serikali sikivu ya CCM gentleman bila mbambamba yoyote![]()
NINI MNATAKA MAZEEEEEEEEEEE.....................................pesa haina maana wala thamani yoyote kwenye kulinda uhai na maisha ya watu hususani kwenye maene ya makazi na biashara za wananchi gentleman,
hakuna mbamabamba kwenye hilo.
halafu ni vizuri wananchi kuepuka na undumilakuwile,
mtu akifa mnlalamika,
usalama wa watu na makazi yao ukiimarishwa mnlalamika,
nini sasa mnataka?![]()