Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #41
Acheni ujinga! Hivi mnafikiri mnaongea na vilaza humu?Hizo pesa ni ndogo sana. Kwa Camera arobaini?
Hivi mnataka waweke camera za aina gani hapo Kariakoo? CutePanda? Ring doorbell camera?
=============
Hivi bakresa ametumia kiasi gani cha pesa kufunga cctv camera azam tv? Acheni utani.
na zitafungwa tu bila mbambamba za mtu yeyote yule, kwa maslahi mapana ya taifaKikubwa zifungwe tu wasingie mitini
Ova
Kwa hiyo ndo muibe fedha za wananchi kwa kigezo cha usalama?sidhani kama kupoteza uhai na maisha hata ya mtu moja tukwasababu za kiusalama kudorora, inaweza kulinganishwa na milioni 514 au hata billion gentleman.
I think ilisha tangazwa na viongozi wetu kitaifa kwamba,
there will be no discussions katika suala la usalama wa watu, makazi na biashara zao.
umoja, amani na utulivu wa waTanzania popote walipo utalindwa kwa nguvu na gharama zote bila mbambamba za kibaka au tapeli yoyote wa kisiasa
Naona weye ni muumini wa hiyo kitu kwelikweli.ramli za kishirikina na imani potofu za mtu moja moja, haziwezi kuzuia ulinzi na usalama wa waTanzania usiimarishwe na kua wa kisasa zaidi
Watajuana wanaofunga mkuu..ilaMzifunge tu na zote zikamilike tu
π
Ova
Inasikitisha sana. Alafu Kimara tu kuna wananchi hawana maji ya Bomba.Watu kipindi hiki wanaongeza sifuri tu, tulibadili mkoloni mweupe tukaleta mweusi
Lengo la serikali sikivu ya ccm ni kuhakikisha usalama wa uhakika kwa waTanzania wote kwa gharama yoyote.Kwa hiyo ndo muibe fedha za wananchi kwa kigezo cha usalama?
Sawa endeleeni tu kuiba. Yana mwisho.
π okkkk....na zitafungwa tu bila mbambamba za mtu yeyote yule, kwa maslahi mapana ya taifa
inawezekana ukawa ni mkristo, lakini mkristo jina na fuata upepo tu asie na imani thabitiNaona weye ni muumini wa hiyo kitu kwelikweli.
Mie ni mkristo halisi, hayo mambo hata siyazingatiia hurudisha nyuma akili na kuwa zezeta.
Umoja, amani na utulivu wa waTanzania wote Taifa katika kila kona na pembe ya nchi yetu, vitalindwa kwa nguvu na gharama yoyote bila kujali kelele au mdomo wa kibaka au tapeli yoyote wa kisiasa nchini.
Unaniuliza mm? Muulize huyo aliyesema kuna wizi huko. Huyo ndie aliyefanya tafiti na kugundua wizi huo. Muulizeni.Kamera moja yauzwaje?
Mitaani kwetu tulifunga ilitumika 2m na usheh tu...Watajuana wanaofunga mkuu..ila
Naamini zipo gharama zingine humo kwenye TShs 40million.. Ww unafikiri huyu LodiLofa Dearing anaweza funga kwa kiasi gani?
nadhani ilifaa kua 1 billion kabisa,
kwasababu usalama wa Taifa na wananchi wake ni muhimu sana na gharama yake haipimwi kwa fedha
ni muhimu ikafahamika kwamba kwa nguvu na gharama yoyote ile usalama wa waTanzania utazingatiwa na serikali sikivu ya CCM gentleman bila mbambamba yoyote
nadhani ilifaa kua zile za 1billion ambazo ni za kisasa zaidi,Gentleman π
Naona umekosa cha kutetea Leo
Umeamua kuja na upande mwingine haha
Camera 40 Kwa milion 500 wow Just wow
unasahau taratibu za manunuz lazim bei huenda inapanda sabab kwa uzoef wangu procedure za procurement ndio kikwazo kokubwa sana cha miradi. kakitu kadogo tu kutokana na procedure kanakula hela na hela. hapo kamera unakuta ina price, price +vat bado labour charge. supervisions ya kipind cha mradi.10% ya wazee wa kaz ni kipimo cha utu. mambo ni mengi so hio bei ni sawaTuichambue M514 alafu tujue zinafungwa kamera gani, watuonyeshe quotation ya hizo bidhaa. Yan kakubali
kabisa kamera million Mia tano?.
Kikubwa zifungwe tu πPamoja na bei hiyo utakuta za solar maana umeme wenyewe wasiwasi mara ukatike
Hizi hela wamechanganuaje?
Au watafungiwa wenye maduka?
Maana sidhani kama kuna watu watapata ajira kwa kuangalia uhalifu labda Polisi
. Vyovyote vile mna safari ndefu sana
Mitaa mingi ya uhindi,kisutu, Libya Street nk wDosi wamefunga wenyewePamoja na bei hiyo utakuta za solar maana umeme wenyewe wasiwasi mara ukatike
Hizi hela wamechanganuaje?
Au watafungiwa wenye maduka?
Maana sidhani kama kuna watu watapata ajira kwa kuangalia uhalifu labda Polisi
. Vyovyote vile mna safari ndefu sana