Munambefu
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 2,811
- 7,200
Camera 40 kwa kkoo ni kitu gani?
Halafu hii kampeni ya biashara 24hrs kkoo ni mradi usiowezekana.
Ili biashara iweze kufanyika 24hrs haitegemei tu kkoo bali atmosphere ya jiji zima na Nchi kwa ujumla.Usalama wa hao wateja huko wanakotoka na kurudi huo usiku ukoje?usafiri wakati wa usiku ukoje?
Yani kuna mtu atatoka zake huko Magwepande au Chanika aende zake kkoo kununua ka TV kake inch 32 saa nne usiku arudi kwake saa nane?Au mfanyibiashara atoke njombe aingie zake Kkoo saa tatu usiku na visenti vyake?
Ni mwenye duka gani atafungua duka lake usiku kkoo ambayo umeme mchana tu ni kizungumkuti sembuse usiku.
Nafikiri tunakimbilia kusimama wakati kutambaa bado.Chalamila apambane na kuweka mji safi kwanza maana unanuka hiyo ndio level yetu