Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Kumbe unaangaliaga hizo movie
Mkuu,
Mimi natazama movies za dunia yote.
Siku hizi wanajitahidi lakini ukizibabatiza unazikuta bado zile za watu wapo chumba cha giza lakini baba anasema kaona uso wa mtoto.