Kamfumania mume wake siku ya Christmas, afanyeje?

Huyo uliyemuita msamaria mwema ungemuita shetani mwema Kiruu!!
 
Nakuambia mimi hata ukimkuta mke wangu hapo analiwa ukija kuniambia ntakutoa nduki na kipigo juu, unless kama una mke umeniandalia ambae ni malaika. Au unataka nikuoe wewe
Hatuishi na malaika tegemea chochote kufumania,kuletewa mtoto wa nje,kuachwa ukijiandaa huwezi enda jela kisa mapenzi.
Dunia imevaa bukta kichwan
 
Mwili wake utamu wake,we pangusha endelea kula.
Ukiona ngumu tafuta malaika ndo wakamilifu.
 
Upanga Kwa upanga,naye mke afunge mwaka na x wake.
 
Alikuwa haelewi kuwa sikukuu ya krismasi ni ya kishetani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…