peoples power
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 475
- 100
kuendelea ndoa na mbakaji?
kuachana atakufa au?
mnataka aje ambake watoto wa ndugu au?
hahahahahahahaha! mkuu hii umenikumbusha skendo ya kitambo ,nayo ili-hit mbaya.Kama kijogoo Mahita?
hapa naona movie limebadilika sasa kwa sisi wazee wa kushtukia conspirancy tunanza kusmell the rat au fishy hapo.....Morning guys!
Nimefuatilia michango yenu mizuri ambayo honestly inanisaidia kutafakari hili swala. Naomba niweke wazi some of the issues, pale ambapo ni opinion yangu nitamention kwa initial hii 'MO'
1. Simjui vizuri huyo shemeji yangu (kitabia)
2. Wana shida ya mtoto; wote wamepima wana matatizo (ingawa mwanaume hayakubali matokeo)
3. Mdogo wangu alishapata info ya infedality ya mumewe kwa mdada mwingine (akampiga mkwara, dada akakiri na kuomba msamaha)
4. Mama mdogo wangu (mama yake Mdogo wangu alishaenda kutatua mgogoro wa ndoa hiyo few months ago)
5. Baada ya ugomvi wa juzi huyo mume amefikia uamuzi wa kugawana mali na kuachana (sidhani kama anajutia au anataka ndoa; na kwangu mimi bado sijashawishika umuhimu wa ndoa hii, but sintamshauri hivyo Mdogo wangu. MO)
6. Mdogo wangu msimamo wake mpaka jana usiku (sijau-influence) ni get out of that wedlock
7. Binti wa kazi umri wake ni miaka 16 kama alivyoreport kwa employers wake
8. Asubuhi hii, hapatikani kwenye simu, napata wasiwasi kidogo!
Mwanaume akinyimwa hawezi kukaa na kungoja....anajitafutia pengine.....ila sio kubaka!
calm down dier !
Wewe na mie tupo huru kutoa michango, ila ni muhimu kuzingatia mambo hayo nlotaja ili mtoa mada apate best of your advices.
Pole kama ulikwazika kwa chochote ndugu.
Again....unatakiwa kujua kwamba sio lazima wote tuzingatie hayo mambo uloyataja kwa sababu wengine michango yetu haijaegamia huko.....so tusiwekeane limitation/masharti kwenye uchangiaji!!! As you have said kuwa mimi na wewe tupo free kutoa michango, basi naomba tusilazimishane kuchangia kwa kuzingatia hayo mambo uloyataja ya kubalance pande zote ilihali mie mtoa comment sijaona hoja ya hivo! Its better ungeniuliza swali kama lengo lako lilikuwa ni kubalance pande zote mbili, ningekujibu tofauti na wewe uliekimbilia kuiona jazba yangu ukaacha kureply kwa kile nilichoandika!!!
Tatizo lako unataka michango iwe kama unavyofikiria wewe, nakukumbusha tu kwamba hii sio 1+1 ambapo jibu lake sahihi halibadiliki! Naomba tu nikutaarifu kuwa nitatoa mchango wa maana kama nionavyo mimi japo yaweza kuwa sio conclusive, na siwezi kutoa mchango kama unavyotaka wewe ili uuone wa maana!!! So ukiona kuwa mchango wako ni wa maana saana kuliko ya wengine its up to wewe, pia naomba tu uelewe kuwa hiyo balance unayoitaka wewe kwangu mie haipo completely!
good question mwj1.....vp una mume au bf?Hivi kwenye ndoa,mnaanzaje kunyimana?
good question mwj1.....vp una mume au bf?
hujajibu swali lakini,married or with bf au manfriend(ajuza)?Asakuta mie ajuza!
jamani nshasema hausgeli ni mwanamke kama wanawake wengine,hili shauri tuliangalie katika dirisha na mme kutembea/kubaka mwanamke nje ya ndoa.Sura ya u HG tuiondoe hapa tuone kabaka/katembea na dokta,mhasibu,mwalimu etc ndo tutoa hukumu maridhawa.
Bishanga! Taasibota!hujajibu swali lakini,married or with bf au manfriend(ajuza)?
aksante mkuu ,naona alikuwa anataka kuruka ruka km mtetea.hujajibu swali lakini,married or with bf au manfriend(ajuza)?
Hukua na sababu yoyote kunijibu kwa post zenye kejeli namna hii! But nakuelewa. Kama ungechuka muda wa kulielewa swali langu katu usingeandika post hii. Nitakujibu!sasa ulikuwa unaweka pozi lann kujibu?
ww mumeo akikuudhi mara kwa mara na akakuboa kiasi cha kupoteza moody bado akija utampanulia tu hata uchungu wako moyoni haujaisha kwanza?
hlf it seems haupo kwenye ndoa ww na pocbo bado bikra ww kwasababu hiki kitu ni very common.
aksante mkuu ,naona alikuwa anataka kuruka ruka km mtetea.
naona umebeba bango sio, kazi kwelikweli halooo!
"Back to the topic please"!
nikusaidieje? jamani hee!