Kamfumania mumewe na housegirl!!!!!

Kamfumania mumewe na housegirl!!!!!

kuendelea ndoa na mbakaji?
kuachana atakufa au?
mnataka aje ambake watoto wa ndugu au?

kwa mtazamo wangu huyo binti hajabakwa ila kwa sababu jamaa yamemkuta ndiyo maana inaingizwa hyo lugha ya ubakaji.na hyo yote kwasababu huyo mama anahasira na anatafuta watu wamuhurumie.la msingi hapo busara itumike katika kumaliza hilo tatizo.
 
Morning guys!
Nimefuatilia michango yenu mizuri ambayo honestly inanisaidia kutafakari hili swala. Naomba niweke wazi some of the issues, pale ambapo ni opinion yangu nitamention kwa initial hii 'MO'
1. Simjui vizuri huyo shemeji yangu (kitabia)
2. Wana shida ya mtoto; wote wamepima wana matatizo (ingawa mwanaume hayakubali matokeo)
3. Mdogo wangu alishapata info ya infedality ya mumewe kwa mdada mwingine (akampiga mkwara, dada akakiri na kuomba msamaha)
4. Mama mdogo wangu (mama yake Mdogo wangu alishaenda kutatua mgogoro wa ndoa hiyo few months ago)
5. Baada ya ugomvi wa juzi huyo mume amefikia uamuzi wa kugawana mali na kuachana (sidhani kama anajutia au anataka ndoa; na kwangu mimi bado sijashawishika umuhimu wa ndoa hii, but sintamshauri hivyo Mdogo wangu. MO)
6. Mdogo wangu msimamo wake mpaka jana usiku (sijau-influence) ni get out of that wedlock
7. Binti wa kazi umri wake ni miaka 16 kama alivyoreport kwa employers wake
8. Asubuhi hii, hapatikani kwenye simu, napata wasiwasi kidogo!
hapa naona movie limebadilika sasa kwa sisi wazee wa kushtukia conspirancy tunanza kusmell the rat au fishy hapo.....
wanashida ya mtoto kutokana na wote wanamatatizo ,wife kakubali mume hajakubaliana na hali halisi....socially ananyoshewa vidole kwa mapungufu yake na mentally anasumbuka ambayo impact yake psychological ni kubwa sana kwa mwanaume kushindwa kuzaa....sasa usikute hg kapigwa mimba na kidume kingine huko nje hlf kamuambia baba mwenye nyumba ana mimba yake,,,,pocbo wameanda conspiracy ya kumtoa mke kwenye nyumba hg abebe mume kabisa bila kubanana(taking into account hapo juu kwenye red na fact hg hataki kesi).....ni mtazamo tu ,tryng not to left no stone unturned tu.
 
calm down dier !
Wewe na mie tupo huru kutoa michango, ila ni muhimu kuzingatia mambo hayo nlotaja ili mtoa mada apate best of your advices.
Pole kama ulikwazika kwa chochote ndugu.

Again....unatakiwa kujua kwamba sio lazima wote tuzingatie hayo mambo uloyataja kwa sababu wengine michango yetu haijaegamia huko.....so tusiwekeane limitation/masharti kwenye uchangiaji!!! As you have said kuwa mimi na wewe tupo free kutoa michango, basi naomba tusilazimishane kuchangia kwa kuzingatia hayo mambo uloyataja ya kubalance pande zote ilihali mie mtoa comment sijaona hoja ya hivo! Its better ungeniuliza swali kama lengo lako lilikuwa ni kubalance pande zote mbili, ningekujibu tofauti na wewe uliekimbilia kuiona jazba yangu ukaacha kureply kwa kile nilichoandika!!!
 
Again....unatakiwa kujua kwamba sio lazima wote tuzingatie hayo mambo uloyataja kwa sababu wengine michango yetu haijaegamia huko.....so tusiwekeane limitation/masharti kwenye uchangiaji!!! As you have said kuwa mimi na wewe tupo free kutoa michango, basi naomba tusilazimishane kuchangia kwa kuzingatia hayo mambo uloyataja ya kubalance pande zote ilihali mie mtoa comment sijaona hoja ya hivo! Its better ungeniuliza swali kama lengo lako lilikuwa ni kubalance pande zote mbili, ningekujibu tofauti na wewe uliekimbilia kuiona jazba yangu ukaacha kureply kwa kile nilichoandika!!!

naona umebeba bango sio, kazi kwelikweli halooo!
"Back to the topic please"!
 
Tatizo lako unataka michango iwe kama unavyofikiria wewe, nakukumbusha tu kwamba hii sio 1+1 ambapo jibu lake sahihi halibadiliki! Naomba tu nikutaarifu kuwa nitatoa mchango wa maana kama nionavyo mimi japo yaweza kuwa sio conclusive, na siwezi kutoa mchango kama unavyotaka wewe ili uuone wa maana!!! So ukiona kuwa mchango wako ni wa maana saana kuliko ya wengine its up to wewe, pia naomba tu uelewe kuwa hiyo balance unayoitaka wewe kwangu mie haipo completely!

nikusaidieje? jamani hee!
 
jamani nshasema hausgeli ni mwanamke kama wanawake wengine,hili shauri tuliangalie katika dirisha na mme kutembea/kubaka mwanamke nje ya ndoa.Sura ya u HG tuiondoe hapa tuone kabaka/katembea na dokta,mhasibu,mwalimu etc ndo tutoa hukumu maridhawa.
 
jamani nshasema hausgeli ni mwanamke kama wanawake wengine,hili shauri tuliangalie katika dirisha na mme kutembea/kubaka mwanamke nje ya ndoa.Sura ya u HG tuiondoe hapa tuone kabaka/katembea na dokta,mhasibu,mwalimu etc ndo tutoa hukumu maridhawa.

Mi nafikiri ni muhimu kutambua kwamba si tu katembea nje ya ndoa, bali pia katembea ha housegirl aliye underage.

Kwa nini?

Mahusiano ya housegirl na baba hayana reciprocity, hakuna usawa hapa, mmoja ni muajiri mwingine ni muajiriwa. Umuhimu wa kusema huyu ni housegirl ni kuonyesha element ya unyanyasaji katika sehemu ya kazi.

Zaidi ya hilo, kuna element ya msichana wa kazi kuwa underage, kwa hiyo si tu swala la muajiri na muajiriwa ambalo tumeona tayari halina milinganyo, tunaona pia huyu msichana hana hata "age of majority" kusema anaweza kutoa uamuzi.

Kwa hiyo si sawa kuangalia hili kama mume aliyetembea nje ya ndoa tu. Kama mahakamani prosecuter anasoma mashtaka, anaweza kusomewa kila shataka (sexual harassment in the workplace, statutory rape etc) tofauti.
 
yaani kukuta housegirl analalama ukazani kabakwa,au kukuta anasema sitaki! Au nitamwambia mamdogo? Aisee mwambie awe makini sana kwenya maamuzi.
 
sasa ulikuwa unaweka pozi lann kujibu?
ww mumeo akikuudhi mara kwa mara na akakuboa kiasi cha kupoteza moody bado akija utampanulia tu hata uchungu wako moyoni haujaisha kwanza?
hlf it seems haupo kwenye ndoa ww na pocbo bado bikra ww kwasababu hiki kitu ni very common.
Hukua na sababu yoyote kunijibu kwa post zenye kejeli namna hii! But nakuelewa. Kama ungechuka muda wa kulielewa swali langu katu usingeandika post hii. Nitakujibu!

Kwanza kuweka pozi kwenye kulijib swali lako ni haki yangu ya msingi kwa sabab kuu mbili
1. Its too personal! Naamini hujaulizwa the same! So ni maamuzi yangu kukujibu au kukupotezea. Na kama ungeelewa maana ya ajuza ungelipata jibu langu frm there.
2. Hili swali lako kwangu ni nje ya topic. Niliamua kujibu vile ili kuavoid kutoka nje ya mada (am sorry kuwa imebidi)

Mantiki nzima ya swali langu ilikuwa kumjibu RR aliyesemakuwa mwanaume ukimnyima anatafuta na nlipouliza swali langu nilikuwa na maana ya muda,ni muda gani mnanyimana hadi akatafute nje!! Au ndo ule usemi wa 'settle your differences before going to bed' unakuwa umepitia dirishani?!

Swala la kuwa bikira, naomba nisilijibu.
Peace.
 
naona umebeba bango sio, kazi kwelikweli halooo!
"Back to the topic please"!

Naomba tu nikukumbushe tena mimi na wewe ni wachangiaji, kila mtu na hoja yake ila mhusika wa issue ndo muamuzi na huyo ndo mwenye kudetermine kipi ni cha maana kwake ili akichukue na kipi ni useless akiache!!! Unapoona weakness unaruhusiwa kucritisize, usilazimishe kuwa mtizamo wako ndo wa maana sana ilihali sote twategemeana na pia twategemea saana michango ya members wengine!!
 
Back
Top Bottom