Morning guys!
Nimefuatilia michango yenu mizuri ambayo honestly inanisaidia kutafakari hili swala. Naomba niweke wazi some of the issues, pale ambapo ni opinion yangu nitamention kwa initial hii 'MO'
1. Simjui vizuri huyo shemeji yangu (kitabia)
2. Wana shida ya mtoto; wote wamepima wana matatizo (ingawa mwanaume hayakubali matokeo)
3. Mdogo wangu alishapata info ya infedality ya mumewe kwa mdada mwingine (akampiga mkwara, dada akakiri na kuomba msamaha)
4. Mama mdogo wangu (mama yake Mdogo wangu alishaenda kutatua mgogoro wa ndoa hiyo few months ago)
5. Baada ya ugomvi wa juzi huyo mume amefikia uamuzi wa kugawana mali na kuachana (sidhani kama anajutia au anataka ndoa; na kwangu mimi bado sijashawishika umuhimu wa ndoa hii, but sintamshauri hivyo Mdogo wangu. MO)
6. Mdogo wangu msimamo wake mpaka jana usiku (sijau-influence) ni get out of that wedlock
7. Binti wa kazi umri wake ni miaka 16 kama alivyoreport kwa employers wake
8. Asubuhi hii, hapatikani kwenye simu, napata wasiwasi kidogo!