Kamfumania mumewe na housegirl!!!!!

Kamfumania mumewe na housegirl!!!!!

na kwa nini huyo dada yako na shemeji yako wakaaajiri housegirl under age???mnh na wao pia wana matatizo.....

pili,kwa nini hawana mtoto bado wakaajiri housegirl wkt familia haijawa kubwa?uzembe tu....
 
Labda niulize hivi:-
1] huyo mme hana nafasi yakusamehewa na mkewe na ndoa ikaendelea?

2]Je huyo mme hana nafasi tena katika jamii?

3]Jambo hilo haliwezi kumalizwa bila kumpeleka jela na binti akapewa haki zake ?
 
...underage ndio umri gani huo mkuu? umri wa kupiga kura, au...?

ndo maana nimeandika 'underage'
sina uhakika na sheria zetu hapa zinasemaje
nafahamu marekani underage ni chini ya miaka 21
kwenye masuala ya sex.....but najua bongo 16 bado ni underage
but sijui makosa ya sex sheria inataja umri gani hasa
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
yaani hii jamii yetu inahitaji 'shule kubwa'
unakuta mama mtu mzima 'hajui' kuwa binti akiwa
underage sio lazima 'nguvu' itumike ndo awe 'amebakwa'
matokeo yake unaona 'blaming the victim' imekuwa ni culture nayo..

Bosi umesema mambo ya maana. Mwanzo mwisho. Jamani tufunge mjadala. Nilifanya utafiti juu ya suala hili nikagundua ni gumu sana.
Huyo bwana hana hata decency ya kuomba penzi kwa underage anabaka. Shetani mwenye miguu miwili.
 
@mwanajamii
Yaani l am speechless; binti alivyoulizwa alisema alilazimishwa, but who knows. Labda kufumaniwa ndiko kumemfanya aseme hivyo!
@Tuko
I was not seeking sympathy; nilinarrate kama nilivyoambiwa, kama ukiangalia post yangu ya kwanza my concern yangu ilikuwa my sis; baadaye nikaanza kumfikiria huyo binti especially baada ya kujua ni underage.
@The Finest n The Boss
Mwaweza kuwa right, but bila ushirikiano wa binti, Mdogo wangu hawezi; fikiria pia now she even think that binti alicooperate au ulikuwa mchezo wao wa siku nyingi!

Je, na kuhusu umri wake kuna uthibitisho kwamba ni below 16 YO au ni kauli yake, wazazi/walezi wake? na hakuna uthibitisho wowote!?
 
wala isikusumbue akili, hio kwa wanaume ni nature si makosa yao chamsingi ni mvulana kujua kua kuna udhaifu huo wa wanawake kwa asilia kabisa hivyo kua makini na hilo kila wakati, ila hata wanawake nina experience na hili wao pia makosa yao mengi chanzo chao ni wanaume toka nimesoma girlz hata chuo nimeona hayo so hawatofautiani sana,
nasistiza swala hilo laweza tatuliwa socially na yakaisha.
Na mdogo wako akapata muda wa kujipanga upya na mmewe,kumbuka wao ni binadamu na sio wakamilifu, ndugu!

I strongly disagree with you pilu!! Tamaa leads the way to that kind of stupidity, hakuna cha nature wala bibi yake nature........PERIOD!!! Mkewe ana mapungufu ama hamridhishi, sasa huyo mtoto wa miaka 16 angemridhisha nini kwa kufanyishwa tendo bila ridhaa??? Really pilu.......really??? You reasoning can't make it more valid than not, AGAIN......I strongly reject to buy that crap........PERIOD!!!
 
sorry ! Mbona umekua mkali nini tena?

wewe ungejua madhara ya 'rape' na 'unwanted sex'
kisaikolojia kwa mhusika na wew ungekuwa mkali....h
ivi unajua hata maana ya 'trauma'?????/
 
yaani hii jamii yetu inahitaji 'shule kubwa'
unakuta mama mtu mzima 'hajui' kuwa binti akiwa
underage sio lazima 'nguvu' itumike ndo awe 'amebakwa'
matokeo yake unaona 'blaming the victim' imekuwa ni culture nayo..
Na tatizo linapokuja hapo watu wanafikiri kubaka hadi mtu akuonyeshe mtutu wa bunduki au sime na panga kuna circumstances nyingi sana na still watu wataendelea ku-argue...
 
Je, na kuhusu umri wake kuna uthibitisho kwamba ni below 16 YO au ni kauli yake, wazazi/walezi wake? na hakuna uthibitisho wowote!?

Sijui; she is 16, ndivyo alivyomwambia Mdogo wangu, unajua anakaa mbali (biharamulo) how they got her sijui!
 
Je, na kuhusu umri wake kuna uthibitisho kwamba ni below 16 YO au ni kauli yake, wazazi/walezi wake? na hakuna uthibitisho wowote!?

hata kama angekuwa na miaka 25
'unwanted sex' ni ubakaji full stop....
 
hata kama angekuwa na miaka 25
'unwanted sex' ni ubakaji full stop....

Hatuna ushahidi wa kuthibitisha kama huyo binti alibakwa hata Kaunga kishasema hivyo, "fikiria pia now she even think that binti alicooperate au ulikuwa mchezo wao wa siku nyingi!"

na kwa nini huyo dada yako na shemeji yako wakaaajiri housegirl under age???mnh na wao pia wana matatizo.....

pili,kwa nini hawana mtoto bado wakaajiri housegirl wkt familia haijawa kubwa?uzembe tu....

Sheria za Tz, binti anaweza fanya kazi za ndani at 14 yrs.

About kuwa na msichana wa kazi, sometimes tunakuwa nao kwa ajili kuwa na mtu tu nyumbani. Hata mimi ninaye pamoja na kwamba sikai na mtoto hapa. Aina ya ajira mtu aliyonayo huchangia need ya kuwa na mtu nyumbani!
 
Guys!
Majibu hospital, binti hana michubuko, hana traces za sperm kwenye urine. Alivyohojiwa kama alichaniwa nguo amesema hapana; hataki kesi anataka kurudi kwao. She is 16yrs old. Fighter might be right after all!

My young sis is kind of pissed; and she plan to just give the girl fare and her salary aende kwao.
this doznt prove hjafanyiwa kitu ,michubuko inategemea imepita muda gani kuweza kuiona na pia siyo lazima awe ameipata ,sperm znt necessary ziwepo kama jamaa hakupizi au alivaa condom je?
ila hapo kuna kitu mpaka majirani wampigie dada yako aje nyumbani kuwa hg anabakwa na hg kusema anataka arudi kwao,,,thr must b s'thng fishy.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
It amazes me how some Men are so much into infidelity hadi wanatetea rape!what i see is humanity imepungua inaelekea nil..ila i dont blame you,you can never understand the trauma that is caused by having being raped o sexually abused until yakukute,either mwanao o ndugu yako and again you cant be in her shoes cause nyie mtamove on but what about her?!..at times women become so defensive on Men because of beasts like the one in the story!.all i know is,be it walikubaliana o nt,hiyo ni rape..so shameful of him..and about ndoa,sidhani kama Mungu aliweka ndoa kwaajili ya mateso Nah!..hakuna the slave and master in that..
 
Najua hapa kuna mambo mengi ya kujadili lakini hebu mstick kwenye ishu ya ubakaji.Mambo kama iweje uwe na housgirl wa below 16 sijui mke alikua hamridhishi mume,haya ni ishu lakini hapa sio mahala pake!
 
Hatuna ushahidi wa kuthibitisha kama huyo binti alibakwa hata Kaunga kishasema hivyo, "fikiria pia now she even think that binti alicooperate au ulikuwa mchezo wao wa siku nyingi!"

@mwanajamii
Yaani l am speechless; binti alivyoulizwa alisema alilazimishwa, but who knows. Labda kufumaniwa ndiko kumemfanya aseme hivyo!
@Tuko
I was not seeking sympathy; nilinarrate kama nilivyoambiwa, kama ukiangalia post yangu ya kwanza my concern yangu ilikuwa my sis; baadaye nikaanza kumfikiria huyo binti especially baada ya kujua ni underage.
@The Finest n The Boss
Mwaweza kuwa right, but bila ushirikiano wa binti, Mdogo wangu hawezi; fikiria pia now she even think that binti alicooperate au ulikuwa mchezo wao wa siku nyingi!

...mpaka sasa majibu ya kama alibakwa au la yanapatikana hapa;

Ni kabinti kadogo, kamebakwa! Majirani walisikia kakikataa na ndio wakampigia simu Mdogo wangu!

...au sikumuelewa Kaunga?
 
wewe ungejua madhara ya 'rape' na 'unwanted sex'
kisaikolojia kwa mhusika na wew ungekuwa mkali....h
ivi unajua hata maana ya 'trauma'?????/
atakuwa hajui huyu ....POST TRAUMATIC RAPE SYNDROME usipime ni balaa mtu anaharibikiwa kabisa kiakili asipopata msaada wa maana'
 
Labda niulize hivi:-
1] huyo mme hana nafasi yakusamehewa na mkewe na ndoa ikaendelea?

2]Je huyo mme hana nafasi tena katika jamii?

3]Jambo hilo haliwezi kumalizwa bila kumpeleka jela na binti akapewa haki zake ?

4]Apewe adhabu tu?
 
Hatuna ushahidi wa kuthibitisha kama huyo binti alibakwa hata Kaunga kishasema hivyo, "fikiria pia now she even think that binti alicooperate au ulikuwa mchezo wao wa siku nyingi!"

hivi binti wa miaka 13 wa shule ya msingi
'aki cooperate na ku sex na mwalimu'
utasema hakuna 'ubakaji'???

hivi mnajua maana ya 'ubakaji'?????

kwa taarifa yako BAK mvulana wa miaka 14
akimtongoza mama wa miaka 30 na 'ku sex nae'
kwa mujibu wa sheria za uingereza huyo mama anashtakiwa kwa ubakaji......

mnanichosha ambao hamuelewi haya mambo....
 
Kufanya mapenzi na mtu aliye underage kwa mujibu wa sheria za eneo husika hiyo ni statutory rape hata kama tendo lilitokea by mutual consent.
 
Back
Top Bottom