Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...underage ndio umri gani huo mkuu? umri wa kupiga kura, au...?
yaani hii jamii yetu inahitaji 'shule kubwa'
unakuta mama mtu mzima 'hajui' kuwa binti akiwa
underage sio lazima 'nguvu' itumike ndo awe 'amebakwa'
matokeo yake unaona 'blaming the victim' imekuwa ni culture nayo..
@mwanajamii
Yaani l am speechless; binti alivyoulizwa alisema alilazimishwa, but who knows. Labda kufumaniwa ndiko kumemfanya aseme hivyo!
@Tuko
I was not seeking sympathy; nilinarrate kama nilivyoambiwa, kama ukiangalia post yangu ya kwanza my concern yangu ilikuwa my sis; baadaye nikaanza kumfikiria huyo binti especially baada ya kujua ni underage.
@The Finest n The Boss
Mwaweza kuwa right, but bila ushirikiano wa binti, Mdogo wangu hawezi; fikiria pia now she even think that binti alicooperate au ulikuwa mchezo wao wa siku nyingi!
wala isikusumbue akili, hio kwa wanaume ni nature si makosa yao chamsingi ni mvulana kujua kua kuna udhaifu huo wa wanawake kwa asilia kabisa hivyo kua makini na hilo kila wakati, ila hata wanawake nina experience na hili wao pia makosa yao mengi chanzo chao ni wanaume toka nimesoma girlz hata chuo nimeona hayo so hawatofautiani sana,
nasistiza swala hilo laweza tatuliwa socially na yakaisha.
Na mdogo wako akapata muda wa kujipanga upya na mmewe,kumbuka wao ni binadamu na sio wakamilifu, ndugu!
sorry ! Mbona umekua mkali nini tena?
Na tatizo linapokuja hapo watu wanafikiri kubaka hadi mtu akuonyeshe mtutu wa bunduki au sime na panga kuna circumstances nyingi sana na still watu wataendelea ku-argue...yaani hii jamii yetu inahitaji 'shule kubwa'
unakuta mama mtu mzima 'hajui' kuwa binti akiwa
underage sio lazima 'nguvu' itumike ndo awe 'amebakwa'
matokeo yake unaona 'blaming the victim' imekuwa ni culture nayo..
Je, na kuhusu umri wake kuna uthibitisho kwamba ni below 16 YO au ni kauli yake, wazazi/walezi wake? na hakuna uthibitisho wowote!?
Je, na kuhusu umri wake kuna uthibitisho kwamba ni below 16 YO au ni kauli yake, wazazi/walezi wake? na hakuna uthibitisho wowote!?
hata kama angekuwa na miaka 25
'unwanted sex' ni ubakaji full stop....
na kwa nini huyo dada yako na shemeji yako wakaaajiri housegirl under age???mnh na wao pia wana matatizo.....
pili,kwa nini hawana mtoto bado wakaajiri housegirl wkt familia haijawa kubwa?uzembe tu....
this doznt prove hjafanyiwa kitu ,michubuko inategemea imepita muda gani kuweza kuiona na pia siyo lazima awe ameipata ,sperm znt necessary ziwepo kama jamaa hakupizi au alivaa condom je?Guys!
Majibu hospital, binti hana michubuko, hana traces za sperm kwenye urine. Alivyohojiwa kama alichaniwa nguo amesema hapana; hataki kesi anataka kurudi kwao. She is 16yrs old. Fighter might be right after all!
My young sis is kind of pissed; and she plan to just give the girl fare and her salary aende kwao.
Hatuna ushahidi wa kuthibitisha kama huyo binti alibakwa hata Kaunga kishasema hivyo, "fikiria pia now she even think that binti alicooperate au ulikuwa mchezo wao wa siku nyingi!"
@mwanajamii
Yaani l am speechless; binti alivyoulizwa alisema alilazimishwa, but who knows. Labda kufumaniwa ndiko kumemfanya aseme hivyo!
@Tuko
I was not seeking sympathy; nilinarrate kama nilivyoambiwa, kama ukiangalia post yangu ya kwanza my concern yangu ilikuwa my sis; baadaye nikaanza kumfikiria huyo binti especially baada ya kujua ni underage.
@The Finest n The Boss
Mwaweza kuwa right, but bila ushirikiano wa binti, Mdogo wangu hawezi; fikiria pia now she even think that binti alicooperate au ulikuwa mchezo wao wa siku nyingi!
Ni kabinti kadogo, kamebakwa! Majirani walisikia kakikataa na ndio wakampigia simu Mdogo wangu!
atakuwa hajui huyu ....POST TRAUMATIC RAPE SYNDROME usipime ni balaa mtu anaharibikiwa kabisa kiakili asipopata msaada wa maana'wewe ungejua madhara ya 'rape' na 'unwanted sex'
kisaikolojia kwa mhusika na wew ungekuwa mkali....h
ivi unajua hata maana ya 'trauma'?????/
Hatuna ushahidi wa kuthibitisha kama huyo binti alibakwa hata Kaunga kishasema hivyo, "fikiria pia now she even think that binti alicooperate au ulikuwa mchezo wao wa siku nyingi!"
hivi binti wa miaka 13 wa shule ya msingi
'aki cooperate na ku sex na mwalimu'
utasema hakuna 'ubakaji'???
hivi mnajua maana ya 'ubakaji'?????
kwa taarifa yako BAK mvulana wa miaka 14
akimtongoza mama wa miaka 30 na 'ku sex nae'
kwa mujibu wa sheria za uingereza huyo mama anashtakiwa kwa ubakaji......
mnanichosha ambao hamuelewi haya mambo....