Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Next step ni #usernames😂Naona wanataka kuvuka mipaka🐼
Wasichoelewa ni kuwa bangi sio madawa ya kulevyaNext step ni #usernames😂
Mbona wanahangaika na mambo madogomadogo!Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya nchini Aretas Lyimo amesema serikali itaanza kuwachukulia hatua za kisheria wanaovaa mavazi yenye picha ya bangi.
Lyimo amesema hayo jijini Dodoma wakati wa uwasilishwaji wa Taarifa ya Hali ya Dawa za Kulevya kwa mwaka 2024 ambapo amesema hatua hii inatekelezwa kama sehemu ya juhudi za kudhibiti matumizi na ushawishi wa dawa za kulevya katika jamii.
"Kwa mujibu wa sheria ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya inakataza mtu yoyote kuvaa mavazi au kuhamasisha kwa namna yoyote ili ya kuhamasisha matumizi ya dawa za kulevya na sheria hiyo kifungu namba 24 ukikutwa na hatia hiyo inakupeleka gerezani kwahiyo mtu yoyote anayevaa mavazi hayo tunamchukulia hatu" Aretas Lyimo - Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya
Kamishna Lyimo amesisitiza kuwa mavazi yanaweza kuwa na athari kubwa katika kuhamasisha na hivyo ni muhimu jamii iungane katika mapambano dhidi ya utumiaji wa bangi na dawa nyingine za kulevya.
Katika hatua nyingine amesema serikali imeanza kufanya mazungumzo na kupokea maoni juu ya namna ya kudhibiti matumizi ya Shisha baada ya kugundulika kuwa kuna baadhi ya watoa huduma wameanza wanachanganya shisha na dawa za kulevya ili kuvutia wateja.
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya nchini Aretas Lyimo amesema serikali itaanza kuwachukulia hatua za kisheria wanaovaa mavazi yenye picha ya bangi.
Lyimo amesema hayo jijini Dodoma wakati wa uwasilishwaji wa Taarifa ya Hali ya Dawa za Kulevya kwa mwaka 2024 ambapo amesema hatua hii inatekelezwa kama sehemu ya juhudi za kudhibiti matumizi na ushawishi wa dawa za kulevya katika jamii.
"Kwa mujibu wa sheria ya kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya inakataza mtu yoyote kuvaa mavazi au kuhamasisha kwa namna yoyote ili ya kuhamasisha matumizi ya dawa za kulevya na sheria hiyo kifungu namba 24 ukikutwa na hatia hiyo inakupeleka gerezani kwahiyo mtu yoyote anayevaa mavazi hayo tunamchukulia hatu" Aretas Lyimo - Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya
Kamishna Lyimo amesisitiza kuwa mavazi yanaweza kuwa na athari kubwa katika kuhamasisha na hivyo ni muhimu jamii iungane katika mapambano dhidi ya utumiaji wa bangi na dawa nyingine za kulevya.
Katika hatua nyingine amesema serikali imeanza kufanya mazungumzo na kupokea maoni juu ya namna ya kudhibiti matumizi ya Shisha baada ya kugundulika kuwa kuna baadhi ya watoa huduma wameanza wanachanganya shisha na dawa za kulevya ili kuvutia wateja.
Kama Taifa, tuna changamoto ya kukosa vipaumbele.Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya nchini Aretas Lyimo amesema serikali itaanza kuwachukulia hatua za kisheria wanaovaa mavazi yenye picha ya bangi.
Na madawa ya kulevya sio bangiWasichoelewa ni kuwa bangi sio madawa ya kulevya
Kaka aretas lyimo nilikuwa na kuheshim sana na bado nakuheshim, unafanya kazi nzuri sana hapo dcea, pls achana na petty issues, ni kujishushia cvKamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya nchini Aretas Lyimo amesema serikali itaanza kuwachukulia hatua za kisheria wanaovaa mavazi yenye picha ya bangi.