Kamishina wa mchezo na Meneja wa uwanja hawafahamu kanuni? au walishindwa vipi kuwasiliana ili Simba wafanye mazoezi?? Kuna kitu hakipo sawa.

Kamishina wa mchezo na Meneja wa uwanja hawafahamu kanuni? au walishindwa vipi kuwasiliana ili Simba wafanye mazoezi?? Kuna kitu hakipo sawa.

Swa

Swali je simba na yanga ni wageni kwenye uwanja wa Mkapa?
Kuna sheria na kanuni. Achana na mambo ya hisia. Ukienda kihisia uko sahihi kuona Simba kafanya kosa ila ukienda kisheria na kikanuni utajua Simba alikuwa sahihi
 
Huyo Meneja wa uwanja kama alikuwa hana taarifa alikuwa anafanya nini usiku hapo uwanjani na mabaunsa wa Yanga? au alitumwa na Utopolo akaroge
 
Umeshahama kutoka kwenye swali la msingi. Rudi ujitetee kutokana na swali lako la msingi
Ninazo hoja zingine je kama Jana mvua kubwa ingeli nyesha jana Simba mazoezi mgefanya jibu ni hapana na leo je mgelikimbia uwanjani

Hitimisho tatizo kuu ni bodi ya Ligi hamna kitu hawana uwezo wa kuzitatua changamoto kwa Wakati rejea mchezo wa Simba na pamba Ina maana kama ule mzozo ingeli husisha Simba na Yanga ingelitokea kama leo
 
Back
Top Bottom