Doctor Ngariba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2020
- 588
- 951
Nadhani aidha hujanielewa au umeamua kuwa mkaidi kwa makusudi.Mngekuwa mnaread between the line basi Yanga mngempa haki yake ya kufanya mazoezi kabla ya mechi kwani hizo kanuni,hazikutungwa jana?
Halafu mnajitoa nyie si ndiye mliye mnyima au Yanga ........? Au inakuwa ni haki inapo kuminya wewe ila unapo waminya wenzio sio haki?
Musa aliiba mbuzi wa Masawe lakini hakushitakiwa mwezi mmoja baadae Masawe aliiba mbuzi wa Musa na Musa aliamua kumshitaki Masawe na hatimae alifikishwa mahakamani.
Je,kwa Mtazamo wako Musa alikuwa sahihi au alipendelewa?