mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
tatizo imani za kishirikina .utopolo hana sabbu nyingine ya kumzuia simba.wameshaona wametega majini yao kwa hyo simba atakwenda kutegua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Meneja ni mwajiliwa wa Serikali si TFF na analipwa na serikali kusimamia uwanja wa serikali,sheria za TFF hazi muhusu.Kwahiyo Meneja hafati Kanuni, yeye anaishi na 'Culture' tu sio?
Soma basi kanuni rejea screenshot iliopostiwa hivi punde. Kamishna wa michezo hakuwathibitishia sababu ya kutofanya mazoezi jana ? au unaongea mpk usiyoyafahamuMpira unaongozwa na kanuni sio mazoea. Watu wamekosa hoja wamebaki kusema Simba ana ugeni gani na uwanja wa mkapa. Ni kanuni zinafuatwa boss
Na mbuzi wenyewe ndio wewe umekata kamba tunakutafuta!simba walizuiwa sababu walikuwa na mbuzi mweusi na mweupe kwenye basi lao
Hizi ni siasa za ccm bila shaka leo raisi atahutubia arusha na chadema watahutubia ile .... NO REFORMS NO ELECTION... hilo limekuja ili watu wasijaadili ya chadema. Wajadili ya simbaKuna vitu vinatia hasira. acha kabisa
Mkuu weka culture pembeni,tunataka kanuni.TFF,Kamishna na Meneja mnamlaumu kwa ujinga na mazoea mliyo yaweka kwa miaka kibao na sasa yamekuwa sheria. Miaka yote Derby ya Kko Mgeni huingia uwanjani siku ya mechi akitokea kambini, huku uwanja anapewa mwenyeji.
Sasa kwa mwenye akili sababu hii culture wameiweka wao wenyewe kwa miaka mingi, wangetakiwa kwanza wampe taarifa meneja, kwamba tumebadilisha culture yetu,sasa tumeachana na mazoea tunafuata kanuni. Sasa meneja hamja mwambia na meneja kichwani mwake anajua bado mnaendelea na tamaduni zenu zile zile, hamkumpa taarifa na mmekuja mda ambao sio wa kazi ,sasa ulitegemea meneja afanye nini kama si kuwakataa.
Hata timu kutokupata nafasi ya kucheza kabla ya mechi hakuzuii kuendelea na mechi, CAF ukienda nchi za kiarabu ni kawaida ila still mechi inaendela.
Hapa wakulaumiwa ni Watani wenyewe ambao walichagua mazoea ya mechi zao na kuacha kanuni na kwa kuwa wana nguvu TFF waliwaacha na ikawa sheria na ndio maana meneja hakuwa na taarifa.
Mkuu weka culture pembeni,tunataka kanuni.
Public sympathy haitawasaidia,Why always Simba ndio anakuwa (victim) mhanga kwenye haya mambo ya figisu figisu kwenye mechi zake??
Simba inayufundisha tuache kufanya mambo kwa mazoea tuwe professional haya ndio mambo wameyazoea huku kimataifa. Sio huu ujanja ujanja wa huku uswahilIni.Mkuu hivi tukiweka ushabiki pembeni, simba ana ugeni gan hapo kwa mkapa?
Ni mgeni wa uwanja au mgeni wa mchezo? Kiuhalisia
Je ni sawa kutopeleka timu uwanjani kisa kunyimwa nafasi ya kufanya mazoezi? Ndo kanuni zinasema hivi
Asante, japo hujajibu maswali yanguSimba inayufundisha tuache kufanya mambo kwa mazoea tuwe professional haya ndio mambo wameyazoea huku kimataifa. Sio huu ujanja ujanja wa huku uswahilIni.
Kwa mujibu wa kiambata ulichoambatanisha,unakiri kuwa kanuni inatambua kile ambacho Simba walihitaji kukifanya.View attachment 3263445
Hizo kanuni zimeanza kutumika na kuzijua jana?
Ukisema professional unaelewa unachokiongea ?.Simba inayufundisha tuache kufanya mambo kwa mazoea tuwe professional haya ndio mambo wameyazoea huku kimataifa. Sio huu ujanja ujanja wa huku uswahilIni.
Imetambua kuanzia jana? Ila walipokuwa wao wenyeji hawa kuzitambua hizo kanuni? Au zilitungwa jana.......?Kwa mujibu wa kiambata ulichoambatanisha,unakiri kuwa kanuni inatambua kile ambacho Simba walihitaji kukifanya.
Nasema hivi kama Yanga walinyimwa haki ya kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi basi siyo kigezo kwa Simba kufanyiwa hivyo.
#UBAYA UBWELA.
Maneno ya kwenye kahawa hayoJana simba alienda kwa mkapa gari alienda nalo halikuwa na wachezaji ni watu wakamati tu sijui wengine siwafahamu, inshort waache uoga uwanja wa mkapa unatafuta uzoefu gani timu km simba ?
Read between the lines brother.Imetambua kuanzia jana? Ila walipokuwa wao wenyeji hawa kuzitambua hizo kanuni? Au zilitungwa jana.......?
Mngekuwa mnaread between the line basi Yanga mngempa haki yake ya kufanya mazoezi kabla ya mechi kwani hizo kanuni,hazikutungwa jana?Read between the lines brother.
Makosa ya Yanga kukubali kuwa kondoo kwa kunyimwa haki ya kufanya mazoezi siku moja kabla ya mechi siyo kigezo cha Simba kukubali hilo.
Soma press ya bodi ya ligi utaelewa akili za watu wanaoongoza mpira wetu! Meneja wa uwanja hakupewa taarifa ya ujio wa Simba na bodi ya ligi wamekiri hilo mze😀Kuna mambo hayahitaji elimu ya juu kujua kwamba Kuna mambo ya ajabu ajabu yanafanyika kwenye mpira wetu. Hivi hata kama Meneja wa uwanja hana taarifa kutoka kwa kamishina wa mchezo kwa uzoefu wake wa uendeshaji wa uwanja anajua kabisa ni lazima timu ngeni itakuja kufanya mazoezi.
Kwa busara tu ya kawaida tu alishindwa vipi kumtafuta kamishina wa mchezo huo na kumuuliza mbona bado yeye kama Meneja wa uwanja hapewi au hajapewa taarifa kuhusu ujio wa timu ambayo itakuwa mgeni kuja kufanya mazoezi??
Lakini pia baada ya hiyo sintofahamu kutokea hapo uwanjani kwanini yeye kama Meneja wa uwanja hakumtafuta kamishina wa mchezo au viongozi wa TFF Ili wampe go ahead ya kuiruhusu Simba kufanya mazoezi?? Hapa Kuna kitu hakipo sawa.
Why always Simba ndio anakuwa (victim) mhanga kwenye haya mambo ya figisu figisu kwenye mechi zake??