Kamji kadogo ka Bakhmut bado kameshindikana, hawa ndio walitaka Ukraine yote

Taarifa za Russia inabidi ukose akili ili kuziamini.
Asubuhi wanakwambia tumefanikiwa kuiteka Bakhmut yote, ikifika jione wanasema tumefanikiwa kusonga mbelea na kukaribia kuiteka.
Tangu November wapo hapo Bakhumut wanachwza kula tumbakishie baba lakini kijiti hawakidondoshi
 
Sasa udhaifu wa Russia si ni huu unaonekana, aliwatisha Finland wasijiunge NATO sasa Finland ametulia mahali pake NATO, putin alitangaza vita ya ukraine kwa 72hrs sasa ametupwa nje huko bakhmut anakata mbuno, ambapo kabla alishafanikiwa kuchukua eneo la Kiv wanasema lafikia ukubwa nchi ya Newzaland sasa wakala shaba wakasukumwa hadi pembeni kabisa huko nje ya Ukraine ndiko ambako sasa battle inaendelea,

Urusi anapigwa kisayansi sana, amewaulisha wanajeshi wake wengi sana mpaka akalazimisha raia na wafungwa na sasa hao Wagner Group nao ata hatuwasikii tena kimya kabisa bakhmut bado ipo under Ukrean
 
Na hapo moto wote Huo ni Wagner wanawafumua Ukraine!
NATO iingie front mazima basi,si mmeuona udhaifu wa Russia?
Mpaka wameingia Wagner na kulieka pembeni jeshi la urusi ni kwamba wameshauliwa sana na sasa ata hao Wagner hakuna anayewataja tena washalala chini
 
Hana uwezo wa kukabiliana na US wala NATO.
Huyo bint Russia sasa hivi wanaume wanachomfanya ni kumtekenya tu ili alainike mwenyewe then asaule na kutoa game.
Wakimpiga kibabe itakua ni ubakaji halafu mbaya zaidi kabeba mtoto mgongoni. Kwa kumtekenyatekenya atawatua chini mwenyewe na kuomba mkunyenge.
War is both, Science and Art.
 
Huyu mzee Putingo kashachemka kitambo huyo.
 
Mpaka wameingia Wagner na kulieka pembeni jeshi la urusi ni kwamba wameshauliwa sana na sasa ata hao Wagner hakuna anayewataja tena washalala chini
Hahahaaaa,kupata vichekesho kama hivi piga 5523
 
Russia ni super power ndio maana hajavamiwa!

Hana haja ya kuvamiwa maana kainchi kadogo kamemshinda hapo, hapajawa na sababu za kumuadabisha, ameshindwa kukafumua, leo amekwama Bakhmut na kupoteza wanajeshi karibia laki moja kwenye kamji ka watu 70,000
 
Hahahaaaa,kupata vichekesho kama hivi piga 5523
Liko wapi jeshi la russia? silaha zao ziko wapi juzi China wameonywa kuhusu mpango wa kuwasaidia silaha Russia taifa tuliloambiwa ni super power vita ya mwaka mmoja ame bankrupt, anakodi drons toka Iran North Korea wamemtolea nje, Putin alikuzwa sana sasa yanamkuta

Finland isingejiunga na NATO kama si ubofya wake wa kuivamia Ukrean, sasa mwenye amemsogeza audi yake sebuleni na hawezi kumfanya chochote, Urusi alitegemea kuisambaratisha NATO lakini NATO ndio wanajidhatiti zaidi nchi wanachama zinaongezeka

Saivi ananungunika ama ooh na sisi tumevamiwa sijui tutaboresha ichi na ichi kwenye mipaka yetu, alichokipinga Ukrean kishatokea kwa Finland sasa kama ni mwaname akaguse Finland kama hatashuhudia vumbi kule Moscow, maamae
 
Hana haja ya kuvamiwa maana kainchi kadogo kamemshinda hapo, hapajawa na sababu za kumuadabisha, ameshindwa kukafumua, leo amekwama Bakhmut na kupoteza wanajeshi karibia laki moja kwenye kamji ka watu 70,000
Russia anaendeleza kichapo tu mpaka malengo yafikiwe!
Mtapiga porojo mwisho mji mmoja mmoja unadondoka!
 
Kwahiyo Russia Yuko bankrupt?Hahaaa,ninyi watu mnachekesha!
Nchi zaidi ya 30 zinajichanga silaha kupeleka Ukraine lakini Russia anendelea kutoa kipondo na anasema hakuna kitu serious ameanza kufanya Ukraine!
Russia habari nyingine!
 
Yamemshinda, amejaribu kutumia hata ndugu zenu wa Syria na Iran ila wapi
Ndio hivyo Russia Bado Yuko sebuleni na anachukua chumba kimoja kimoja!Muondoeni Ukraine ndio tujue ameshindwa!Mtu Hadi anacheza mziki sebuleni kwako halafu unasema yamemshinda,πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mnachekesha kweli
 
Kwahiyo Russia Yuko bankrupt?Hahaaa,ninyi watu mnachekesha!
Nchi zaidi ya 30 zinajichanga silaha kupeleka Ukraine lakini Russia anendelea kutoa kipondo na anasema hakuna kitu serious ameanza kufanya Ukraine!
Russia habari nyingine!
Silaha anazopewa Ukrean impact yake muda mfupi tayari imeonekana, wanajeshi zaidi ya laki 6 wa russia wameenda na maji, hao wafungwa wa Wagner Group siju kamanda aliyekodiwa kutoka Syria wote hawapo tena kwisha, lakini urusi walipovamia tayari walishaiteka Kyiv sasa Ukrean wamepambana kutoma Urusi Kyiv kazi imebakia huko pemben pemben siju bakhmut mpakani, mafanikio ni makubwa mnoo, eneo la nchi ya Newzaland urusi walikuwa tayari washalichukua Ukrean sasa wamtolewa nje wamekimbilia bahari nyeusi ambako wanapiga longrange wakiua raia wawili watatu untaget.

Msafara wa vifaru kutoka russia ulikuwa na ukubwa wa 64km, sasa vile vifaru vimebaki ni maonyesho pale Kyiv watoto na wageni wanaenda kutembelea Kyiv wanapiganavyo picha lakini juzi juzi nchi za ulaya wamesafirisha baadhi kwenda kufanya maonyesho nchini mwao

Putin juzi ametangaza kwamba sas vikwazo vya West rasmi vimeanza kuitafuna nchi yao na kumtaka XI wa China wafanye mazungumza kumaliza vita ya Ukrean lakini wamekuta ukrean bado wana hanger ya kuikomboa nch yao kutoka vamizi russia.
 
Hiyo idadi ya wanajeshi zaidi ya laki 6 umeitoa wapi?Weka chanzo chako hapa maana umekuwa mtu wa kuongea maneno hewa!
Hiyo taarifa kuwa Russia Iko bankrupt umeitoa wapi?Tunaona hali ni mbaya zaidi Kwa walipoweka vikwazo kuliko aliyewekewa vikwazo!
Mpaka Zele anaamua kuondoka Bahkmut au meat
grinder basi jus kwamba wameteketezwa sana!
Russia sio wa mchezo na hiyo ni SMO tu!
NATO wakileta pua ndio itatangazwa full scale war!
Wagner ni kazi na muziki!
 
Putin juzi amekiri vikwazo vya magharibi vimeanza rasmi kumtafuna na bado vinaendelea kadri West wanavyoona waengeze vikwazo

Au mkuu nikutumie form ukajiunge na hao Wagner basi Urusi wanalipa vizuri ukibahatika miezi ndani ya miezi 6 hujauliwa utalipwa wewe ama famili yako milioni 156,000 hela za huko kwenu za madafu, donge nono wahi sasa unachelewa.
 
Vikwazo zaidi ya 14000 havikufua dafu!Hata athari za vikwazo zikija Kwa Russia huko mbeleni,Hawa walipoweka vikwazo watakuwa hoi zaidi!
Toka day 1 ya vikwazo,walioweka vikwazo vimewaumiza sana mpaka wengine wamerudi kimya kimya na kukiuka vikwazo walivyoweka!
Umesema Russia Yuko bankrupt,hiyo taarifa umeipata wapi?Au hujui maana ya Hilo neno na umelitumia bila uelewa?
Nimekuomba source ya askari zaidi ya laki 6 uliposema wameuwawa naona unajifanya hujaona!Wakati mwingine sio lazima uandike kufurahisha genge!
 
Ndio hivyo Russia Bado Yuko sebuleni na anachukua chumba kimoja kimoja!Muondoeni Ukraine ndio tujue ameshindwa!Mtu Hadi anacheza mziki sebuleni kwako halafu unasema yamemshinda,πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ mnachekesha kweli

Ameshindwa na kukwama licha ya wanajeshi wake karibia laki mbili sasa wamekua mizoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…