Kamji kadogo ka Bakhmut bado kameshindikana, hawa ndio walitaka Ukraine yote

Kamji kadogo ka Bakhmut bado kameshindikana, hawa ndio walitaka Ukraine yote

Ka meat grinder ka nato tuende taratibu mpaka mashoga waishie hapo
 
Nikikumbuka lile limsafara la kwenda kuteka Kyev nacheka sana maana shughuli yote imehamia kwenye kujaribu kuteka kamji ka Bakhmut ambapo Urusi imepoteza wanajeshi karibia laki moja kwenye haka kamji.... Na bado kameshindikana.

================

Kiev, April 6, (dpa/GNA) – Ukrainian soldiers fought off a series of Russian attacks in Bakhmut’s industrial zone using artillery and grenade launchers, according to the military leadership in Kiev, while Ukraine’s president insisted his country still controls the city.

Despite being outnumbered, the Russian units failed to make a breakthrough, Kiev’s military leaders said on Wednesday.

Their report came after Ukrainian President Volodymyr Zelensky insisted that his troops would keep fighting for Bakhmut, despite the “very, very difficult” situation there.

“But we are in Bakhmut and the enemy does not control Bakhmut,” he said, during a visit to Warsaw.

Russia has been trying to take Bakhmut, in the Donetsk region, since late summer. Moscow’s troops already control most of the city and parts of the centre, but Ukrainian soldiers are still resisting in the western part of the city, once home to some 70,000 people.
Zelensky said the situation in Bakhmut remains “very, very difficult,” but that Kiev’s forces still control the embattled eastern town, despite claims to the contrary.

“The largest number of different weapons, such as artillery, are being used there,” he said during a visit to Poland on Wednesday.

The amount of available ammunition changes daily and Ukrainian troops are fighting with varying degrees of success, he said. “But we are in Bakhmut and the enemy does not control Bakhmut,” Zelensky underlined.

His comments contradict recent statements from Moscow. The head of the Wagner mercenary force fighting in Bakhmut, Yevgeny Prigozhin, had claimed that his units had “legally” taken Bakhmut by capturing the city’s administration building.

Bakhmut is of strategic importance as it lies on the defensive line established between the towns of Siversk and Bakhmut in the Donetsk region.

If Bakhmut falls, it will open the way for Russian troops to the major cities of Slovyansk and Kramatorsk, which would bring Russia closer to attaining its goal of completely seizing Donetsk.

As fighting continues to rage, further south, Moscow said it was prepared to work with the International Atomic Energy Agency (IAEA) to establish a security zone around the occupied Ukrainian nuclear power plant in Zaporizhzhya, according to Russian nuclear company Rosatom.

Escalations in the fighting in the region has repeatedly put Europe’s largest nuclear power plant at serious risk, triggering concerns throughout around the world.

Rosatom signalled Moscow’s willingness to cooperate with the agency after a meeting of its representatives with IAEA Director General Rafael Mariano Grossi on Wednesday.

The IAEA has been trying to establish a security zone around the plant for months to curb the risk of nuclear disaster.

Meanwhile, Zelensky’s visit to Poland resulted in further pledges of military aid, as Polish President Adrzej Duda said he wanted to inspire other leaders to provide similar levels of support.

But German Vice Chancellor Robert Habeck again underlined the limits of German involvement with regard to support for Ukraine.

“We must not become a party to the war. It is important that this boundary is always maintained,” he told Deutschlandfunk German public radio.

This plays a major role in all considerations of support for Ukraine, Habeck said before returning from his two-day visit to Kiev.

“It is always a consideration where a step might go so far as to actively involve us in the war,” said Habeck. Asked where he personally drew a red line, he said: “Having German troops in Ukraine.”

Further, the issue of alleged child abductions by Russia continues to cause outrage in Ukraine. At her recent press conference, Russian Children’s Rights Commissioner Maria Lvova-Belova admitted to another “kidnapping” of a Ukrainian teenager, according to Kiev.

“This story is the next public confession of war crimes – the abduction of Ukrainian children!” the Ukrainian parliament’s human rights commissioner, Dmytro Lubinets, wrote on Telegram on Tuesday evening.

He said the case involved a 17-year-old boy who was taken from Russian-occupied Mariupol in the Donetsk region to a foster family in Russia. “Yet the child has a sister in Ukraine!” stressed Lubinets. Moreover, the boy had been prevented from returning home to Ukraine on his own. After reaching Belarus, the teenager was arrested and brought back to Russia.

Since shortly after the beginning of the Russian war against Ukraine, Kiev has accused Moscow of “deporting” Ukrainian children. Most recently, Kiev spoke of 19,514 children affected, 4,390 of them orphans. Moscow denies this and speaks instead of evacuations.

Russia launched a full-scale invasion of Ukraine more than 13 months ago and occupies parts of the country’s territory. Many boys and girls have lost their parents as a result of Russia’s war. Thousands are on the run.

Lugha ya malkia haijawahi kumwacha mbongo salama.

Nilizani unatusimulia unayojua kujuhu Bhakimuti kumbe umekopi na kupesti kama yalivyo[emoji16]
 
Kuna watu wamevujisha plan za Ukraine
Ni marekani haohao kwani mpango huo wa kufanya mashambulizi ya kimkakati ulikuwa unaratibiwa na NATO

Watu wasichokijua ni kwamba Urusi hapigani na Ukrane bali na Nato wanaomsapoti Ukrane.

Mataifa ya Nato yanamsaidia Ukrane kwa tahadhari maana wakiingia kichwakichwa wanafahamu hasara itakayo wakuta.

Mpaka sasa kwa kumsaidia ukrane uchymi wao umeanza kupata mtikisiko.

Wanatamani Rushia ashindwe ndio maana wanajaribu kumshawishi China asitoe msaada kwa Russia.
 
Ndio kitu ambacho mnajiliwaza siku zote ila siku NATO watajihusisha kwenye hivi vita sijui mtasema nini....
 
Ila hapa mkuu hasa mwishoni sidhani kama pako sawa sana,

Mfano rahisi;

munapopambana kumtoa mvamizi ukiona hawezekani kutoka mpaka ikifikia hari ya mmoja wenu kumtafuta rafiki wa mvamizi ili mambo yaishe basi ujue huyo mvamizi hawezekani..otherwise ilikuwa nikumpiga na kumtoa. Mzungu hana muda wa kumbembeleza mtu hasa jambo linapokuwa rahisi kwake..hivyo Wagner wangekuwa wwpesi kiasi hicho sidhani kama wangethubutu kuanza kumtumia rafiki mkubwa wa mvamizi ili wakae wayamalize.

Uchina kwasasa ndiyo anaonekana Potential baada ya kudharauliwa mapendekezo yake toka mapema..na kwa bahati mbaya ndiyo rafiki pekee mwenye ushawishi kwa huyo mvamizi. Mambo huenda siyo huenda siyo rahisi mpaka ukiona wakubwa (eg France etc) wakianza kumkabidhi majukumu uchina.
Mkuu hii ya China umeifahamu vibaya sana au umelishwa visivyo, sababu ya China kuandika proposal ya kutaka suluhu na kutinga Moscow kujadili namna ya urusi kumaliza vita ukraine ni baada ya uchina kupata tishio la kuwekewa vikwazo kutoka magharibi na alipewa sababu kwamba yeye ndio alimshawishi putini kuivamia Ukrean lakini sasa ameonekana waziwazi akitoa msaada wa silaha ammunition weapons kuipa urusi kwa ajili ya kuendeleza mapambano ya vita Ukrean.

Ndio mana sasa akaona ili akwepe hivyo vikwazo ambavyo vitamuathiri kwa kiwango kikubwa kwa mustakbali wa watu wake akaona sasa aandae hiyo proposal ya suluhu ili ule mpango wa vikwazo unaoandaliwa kwa ajili yake na watu wake aweze kusamehewa, china bila ya US hana mbele wala nyuma
 
Mkuu unaweza prove kuwa "China kaambiwa yeye ndiyo kamshawishi Putin"
 
In summary;

Westerners ikiongozwa na US hupendelea zaidi Russia kutengwa na Ulimwengu..ndiyo maana kila kukicha huwawekea vikwazo.Sasa panapotokea kuwa na rafiki,wao huhisi kama nikikwazo kwao ndiyo maana hufanyiwa propaganda kila kukicha.

Ingawa wao wanamazuria yao pia maana mimi ni mwenyeji kidogo W+US lakini hili la Russia ni propaganda nyingi.
 
Urusi ataondoka Kwa aibu Ukraine kama alivyo surrender Afghanistan,ni suala la muda tuu
 
Mkuu msaada unaotolewa ni mdogo sana na vifaa vya kizamani na vya kisasa kiduchu,kama NATO wangetoa nguvu zao halisi hakuna rangi Russia angeacha kuona.
Silaha zote zinazoenda huko Ukraine kutoka magharibi nyingi ni za miaka ya nyuma kidogo. Ila Russia ameshapeleka nyingi za kisasa hapo, na zingine anahofia kuzipeleka akijua kwamba watu watazipasua mapema.
 
Hakika
 
Yule alikua mwarabu wenu alipaswa kipodo maana alichangia kuhamasisha magaidi...
Gaddafi hafai maana Alimpa amin kila aina ya support ili Tanzania tufe yeye kuuliwa wavaa makobazi wote wanalia
 
Gaddafi hafai maana Alimpa amin kila aina ya support ili Tanzania tufe yeye kuuliwa wavaa makobazi wote wanalia

Hukuona wengi walilia kisa Osama ameuawa licha ya yeye kulipua bomu kwenye ubalozi wa USA nchini Tanzania na Kenya na aliishia kuua wavaa makobaz wengi tu kwenye hayo mabomu.
 
Mkuu hii ya China umeifahamu vibaya sana au umelishwa visivyo, sababu ya China kuandika proposal ya kutaka suluhu na kutinga Moscow kujadili namna ya urusi kumaliza vita ukraine ni baada ya uchina kupata tishio la kuwekewa vikwazo kutoka magharibi na alipewa sababu kwamba yeye ndio alimshawishi putini kuivamia Ukrean lakini sasa ameonekana waziwazi akitoa msaada wa silaha ammunition weapons kuipa urusi kwa ajili ya kuendeleza mapambano ya vita Ukrean.

Ndio mana sasa akaona ili akwepe hivyo vikwazo ambavyo vitamuathiri kwa kiwango kikubwa kwa mustakbali wa watu wake akaona sasa aandae hiyo proposal ya suluhu ili ule mpango wa vikwazo unaoandaliwa kwa ajili yake na watu wake aweze kusamehewa, china bila ya US hana mbele wala nyuma
Mkuu hii ya China umeifahamu vibaya sana au umelishwa visivyo, sababu ya China kuandika proposal ya kutaka suluhu na kutinga Moscow kujadili namna ya urusi kumaliza vita ukraine ni baada ya uchina kupata tishio la kuwekewa vikwazo kutoka magharibi na alipewa sababu kwamba yeye ndio alimshawishi putini kuivamia Ukrean lakini sasa ameonekana waziwazi akitoa msaada wa silaha ammunition weapons kuipa urusi kwa ajili ya kuendeleza mapambano ya vita Ukrean.

Ndio mana sasa akaona ili akwepe hivyo vikwazo ambavyo vitamuathiri kwa kiwango kikubwa kwa mustakbali wa watu wake akaona sasa aandae hiyo proposal ya suluhu ili ule mpango wa vikwazo unaoandaliwa kwa ajili yake na watu wake aweze kusamehewa, china bila ya US hana mbele wala nyuma
😀😀😀😀😀😀😀😀
Hii nchi ina watu wanaoyajua mambo yote ya ulaya kuliko hata wazungu wenyewe.

Hiki ulichoandika hapa ndugu yangu unaweza kukithibitisha au source tukuamini wewe.

Tusije kusimulia vijiweni kwetu huku tukaambulia kupigwa na wanakijiwe kwa uongo na kupigwa marufuku kusogelea kijiwe.
 
Huko vijiweni ongea kwa herufi kubwa kabisa, sisi tunakesha kufuatilia haya mambo kwenye vyanzo vikuu vya habari
 
Naomba unipe source kaka ili nikiongea nioneshe na ushahidi.
Uwe unaangalia na kufuatilia television za CNN, Aljazeera, BBC nk ziara za XI wa China kule Russia hivi makaribuni, mpaka XI mwenye alipolalamika live kwamba West wao bado wana ajenda kuendeleza vita Ukrean kwa muda mrefu zaidi na kwamba juhudi ambazo yeye XI anazozifanya na Putin huenda zisizae matunda, US waliwadharau kupita kiasi

Siku iliyofuata Putin hasira zake akaona apeleke silaha za nuclear Belarus labda kuwakomoa Ukrean na US lakini akaangukia pua US wakajibu kwa kuiunganisha Finland kuwa mwanachama wa NATO rasmi. Sasa Putin analalamika yeye kwa kusema amevamiwa na hana cha kufanya akiigusa Finland ni sawa na kumshika simba sharubu wanalizana wao kwa wao tu na kujuta, kwamba kama si Urusi kuivamia Ukrean Finland isingeenda NATO sasa kuna frustration za nguvu.
 
Hii ndio source kumbe.

Sawa asante.
 
Wagner nao wamekaa, sasa wameamua kupeleka special forces!
 
Back
Top Bottom