Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Urusi hata akipigana kwenye huo mji miaka 10,mwenye hasara ni Ukraine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu achukue kwa hila hayo majimbo hakuna cha maana alichochukua zaidi ya kuendelea kupoteza,maana alisema hawezi kuvamia kisha ghafla akaingia huku Ukraine hajajipanga,baadae ndio Ukraine anaanza kumobilize na kuingia vitani.Kwa nguvu tulizoaminishwa tulidhani ni siku tatu tu Ukraine itakuwa imeanguka,kumbe Russia mwenye tutusa tu,anacheza makida makida mpaka leo hapo bakhmut huku askari wake wanapukutishwa kama kuku.Kweli uwezo mdogo,basi nenda urudishw majimbo 5 aliyo yachukua.
Russia yeye kapeleka misiba nchi nyingi tu kama Poland,UK,US, Australia NK!Amepoteza wanajeshi karibia laki mbili...analiwa mbaya mno, kasababisha msiba kote hadi Tanzania
DW ,wanasema ukrein imezidiwa sana na huenda huo mji umeshaenda kwa mrusi, kwa mujibu wa uingerezaKelele nyingi sana US na NATO pelekeni jeshi lenu battle field muone huo udhaifu wa Russia.
Kwani nyie NATO mnapenda kuona wa UKRAINE wanakufa hovyo due to prolonged war basi kama sio mwende mkaimalize kazi mapema.
Eti Russia apoteze manpower 100k Bakhmut [emoji28][emoji28] hao Wagner wenyewe wanawasumbua sisikii tena habari za Azov Battalion sijui waliishia wapi.
Kama kweli Bakhmut ndiko Russia kawekeza nguvu zake kubwa au zote basi mpate na muda wa kwenda kukomboa maeneo yalihokwisha twaliwa na mrusi maana huko naamini hakuna manpower ya kutosha ya mrusi kuwazuia mashoga ya NATO na US.
Russia must WIN Russia is unstoppable [emoji123][emoji123]
Ngoja waendelee kulia liaDW ,wanasema ukrein imezidiwa sana na huenda huo mji umeshaenda kwa mrusi, kwa mujibu wa uingereza
Sent from my SM-S920L using JamiiForums mobile app
IMF's ya wapi hii au gongolamboto? taarifa zako huna vyanzo nafkiri unajiandikia tu kubembeleza swaumuAisee,umezoea story za kwenye kahawa!Hilo lingine Naona Kwa kushindwa kuleta source maana yake umejitungia tu kichwani mwako!
Following on the IMF's latest assessment that the Russian economy shrank by a less-than-expected -2.2% in 2022, many of these commentators point to the IMF's projection of fractionally positive economic growth in Russia of +0.3% in 2023, outstripping Germany and the U.K.
Naona imekuuma sana!Ndio hivyo kuwa mpole tu!Russia iliyo vitani na sanctions juu, ukuaji wake wa uchumi utakuwa zaidi ya UK na Germany 2023!IMF's ya wapi hii au gongolamboto? taarifa zako huna vyanzo nafkiri unajiandikia tu kubembeleza swaumu
Kapeleka misiba Ulaya yote na US!ila Kuna ambao waliona mziki mzito wakakimbia!Kajisababishia misiba, na kasababisha misiba Afrika kwa viherehere na pia matakbir wenzako wa Syria...
Ila hapa mkuu hasa mwishoni sidhani kama pako sawa sana,Silaha anazopewa Ukrean impact yake muda mfupi tayari imeonekana, wanajeshi zaidi ya laki 6 wa russia wameenda na maji, hao wafungwa wa Wagner Group siju kamanda aliyekodiwa kutoka Syria wote hawapo tena kwisha, lakini urusi walipovamia tayari walishaiteka Kyiv sasa Ukrean wamepambana kutoma Urusi Kyiv kazi imebakia huko pemben pemben siju bakhmut mpakani, mafanikio ni makubwa mnoo, eneo la nchi ya Newzaland urusi walikuwa tayari washalichukua Ukrean sasa wamtolewa nje wamekimbilia bahari nyeusi ambako wanapiga longrange wakiua raia wawili watatu untaget.
Msafara wa vifaru kutoka russia ulikuwa na ukubwa wa 64km, sasa vile vifaru vimebaki ni maonyesho pale Kyiv watoto na wageni wanaenda kutembelea Kyiv wanapiganavyo picha lakini juzi juzi nchi za ulaya wamesafirisha baadhi kwenda kufanya maonyesho nchini mwao
Putin juzi ametangaza kwamba sas vikwazo vya West rasmi vimeanza kuitafuna nchi yao na kumtaka XI wa China wafanye mazungumza kumaliza vita ya Ukrean lakini wamekuta ukrean bado wana hanger ya kuikomboa nch yao kutoka vamizi russia.
Hata Ukraine ni Ulaya pia!😀Ulaya wanakula burger wakifuatilia namna Warusi wanauawa kama senene
Tupe sourceputin alitangaza vita ya ukraine kwa 72hrs
Hata Ukraine ni Ulaya pia!😀
Wanajifariji hawa hivi mtu bado yuko ndani mwako alafu wajitapata umemthibiti hawa wana lanaNdio hivyo Russia Bado Yuko sebuleni na anachukua chumba kimoja kimoja!Muondoeni Ukraine ndio tujue ameshindwa!Mtu Hadi anacheza mziki sebuleni kwako halafu unasema yamemshinda,[emoji3][emoji3][emoji3] mnachekesha kweli
Ngoma ngumu aseee,wangeshaingia miezi ya mwanzo ila sasa wamebaki wanabwekabweka.Mbona azimio la UN lilipinga US kuivamia Iraq lakini Bado US akaenda na washirika wake?
Tena hapo Wana sababu maana Russia kaivamia Ukraine kuliko kule Iraq ambako walimzushia sababu za uongo na kumvamia!