Kamji kadogo ka Bakhmut bado kameshindikana, hawa ndio walitaka Ukraine yote

Mvamizi ndiye hufa sana maana anaingia kwenye ardhi ya watu na kuwakuta....limsafara lilifyekwa lote tena katikati ya nchi ya watu.
Kwahiyo unapingana na boss wa EU aliyetoa data za vifo vya Ukraine mwaka jana mpaka Zele akakasirika kuwa kitendo hicho kinashusha morali ya wanajeshi?
Ukraine Hadi vitoto na vizee vinapelekwa front,ndio ujue jeshi limefyekwa sana!
 
President Vladimir Putin has conceded that Western sanctions designed to starve the Kremlin of funds for its invasion of Ukraine could deal a blow to Russia’s economy.

“The illegitimate restrictions imposed on the Russian economy may indeed have a negative impact on it in the medium term,” Putin said in televised remarks Wednesday reported by state news agency TASS.

It is a rare admission by the Russian leader, who has repeatedly insisted that Russia’s economy remains resilient and that sanctions have hurt Western countries by driving up inflation and energy prices.

Putin said Russia’s economy had been growing since July, thanks in part to stronger ties with “countries of the East and South,” likely referring to China and some African countries. He also stressed the importance of domestic demand to the economy, saying it was becoming the leading driver of growth.

Russia’s economy has showed surprising resilience to unprecedented sanctions imposed by the West, including an EU ban on most imports of oil products. Preliminary estimates from the Russian government show that economic output shrank by 2.1% last year — a contraction more limited than many economists initially predicted.

Yet while China has thrown the Kremlin an economic lifeline by buying Russian energy and providing an alternative to the US dollar, cracks are starting to appear.

The Russian government’s revenue plunged 35% in January compared with a year ago, while expenditures jumped 59%, leading to a budget deficit of about 1,761 billion rubles ($23.3 billion).

The World Bank and the Organization for Economic Cooperation and Development are forecasting contractions of 3.3% and 5.6%, respectively, in 2023. The International Monetary Fund expects Russia’s growth to remain flat this year, but for the economy to shrink by at least 7% in the medium term.

In response to Russia’s aggression in Ukraine, Western countries have announced more than 11,300 sanctions since the February 2022 invasion, and frozen some $300 billion of Russia’s foreign reserves.

An outspoken Russian oligarch, Oleg Deripaska, said earlier this month that Russia could find itself with no money as soon as next year.

Separately, Austrian bank Raiffeisen Bank International said Thursday it was looking to sell or spin off its Russian business. In a statement, the bank called market conditions in the country “highly complex” and said it was “committing to further reducing business activity” there.

Raiffeisenbank Russia made just over $2 billion in profit last year. But due to strict local rules, Raiffeisen is unable to take any profits from its Russian business out of the country.

Source: https://edition.cnn.com/2023/03/30/economy/putin-russia-sanctions/index.html
 
Libya lilipitishwa azimio la umoja wa Mataifa(UN).
Libya alikuwa mwanachama wa NATO?
Hahahahaaaa,US wenyewe wamesema hawataki vita na Russia ndio maana wanatoa silaha ambazo haziwezi kupiga Moscow!
 
Hujajibu maswali yangu!Hapo umeenda kuniletea bandiko,mqbandiki kama hayo tumeyaona mwaka Sasa!
Kikubwa vikwazo vinawaumiza waweka vikwazo kuliko muwekewa vikwazo!So hata kama vina athari Kwa Russia,Kwa wawekaji ndio maradufu!
-Nimeomba source ya askari laki 6 wa Urusi kuuwawa Ukraine!
-Nimekuuliza unapisema Russia Yuko bankrupt,unaelewa maana yake au umetamka tu kujifurahisha!Nchi iliyo bankrupt inaendesha vita inayotafuta mabilioni Kwa siku!Usipende kujifurahisha Kwa vitu ambayo ni nonsense!
 
Libya lilipitishwa azimio la umoja wa Mataifa(UN).
Mbona azimio la UN lilipinga US kuivamia Iraq lakini Bado US akaenda na washirika wake?
Tena hapo Wana sababu maana Russia kaivamia Ukraine kuliko kule Iraq ambako walimzushia sababu za uongo na kumvamia!
 
Supa-pawa amekwama...
 
Uzi unejaa wana NATO na UKRAINE, nasemaje mwende mkaite hata hao Aliens waje wawasaidie moto wa Russia hamutouweza
 
Urusi imefilisika labda kiingereza kinakupa shida., majajiri wa kirusi wapato na zaidi 15,000 wamelazimika kuikimbia nchi yao na kwenda kuwekeza nchi nyengine kama dubai, uturuk nk.,
 
Kwahiyo unapingana na boss wa EU aliyetoa data za vifo vya Ukraine mwaka jana mpaka Zele akakasirika kuwa kitendo hicho kinashusha morali ya wanajeshi?
Ukraine Hadi vitoto na vizee vinapelekwa front,ndio ujue jeshi limefyekwa sana!

Boss wa EU hapigani pale, hata simjui, Urusi wamesababisha msiba hadi Tanzania....
 
Urusi imefilisika labda kiingereza kinakupa shida., majajiri wa kirusi wapato na zaidi 15,000 wamelazimika kuikimbia nchi yao na kwenda kuwekeza nchi nyengine kama dubai, uturuk nk.,
Aisee,umezoea story za kwenye kahawa!Hilo lingine Naona Kwa kushindwa kuleta source maana yake umejitungia tu kichwani mwako!

Following on the IMF's latest assessment that the Russian economy shrank by a less-than-expected -2.2% in 2022, many of these commentators point to the IMF's projection of fractionally positive economic growth in Russia of +0.3% in 2023, outstripping Germany and the U.K.
 
Boss wa EU hapigani pale, hata simjui, Urusi wamesababisha msiba hadi Tanzania....
Hahahahaaa,yeye mara nyingi amemtembele Zelensky so hizo data amezipata kutoka Kwa Zele ndio maana Zele akachukia Kwa kitendo hicho na haraka Saka hicho kipande kikaondolewa kwenye hotuba lakini Ilikuwa too late!
Mwaka Jana Ilikuwa zaidi ya laki Kwa mujibu wa President wa EU bi Ursula!
Sasa wewe mkenya Unajua mambo ya Ukraine kuliko Ursula?😀😀
 

Hehehe siku zote mko huku mkikatalia mbali data zozote za western ila hizi za huyu naona umeandika hadi insha, masheikh mnachekesha.
 
Hehehe siku zote mko huku mkikatalia mbali data zozote za western ila hizi za huyu naona umeandika hadi insha, masheikh mnachekesha.
Imepenya hiyo,Russia anatandika Kisha sensa utajifanyia mwenyewe!
 
Russia kajichoresha sana,dunia haikutegemea kama ana uwezo mdogo kiasi hiki,tuliaminishwa miaka na miaka kuwa Russia ni moto wa kuotea mbali,matokeo yake sasa kumbe si chochote si lolote.
Kweli uwezo mdogo,basi nenda urudishw majimbo 5 aliyo yachukua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…