Kamji kadogo ka Bakhmut bado kameshindikana, hawa ndio walitaka Ukraine yote

Urusi hata akipigana kwenye huo mji miaka 10,mwenye hasara ni Ukraine.
 
Kweli uwezo mdogo,basi nenda urudishw majimbo 5 aliyo yachukua.
Tangu achukue kwa hila hayo majimbo hakuna cha maana alichochukua zaidi ya kuendelea kupoteza,maana alisema hawezi kuvamia kisha ghafla akaingia huku Ukraine hajajipanga,baadae ndio Ukraine anaanza kumobilize na kuingia vitani.Kwa nguvu tulizoaminishwa tulidhani ni siku tatu tu Ukraine itakuwa imeanguka,kumbe Russia mwenye tutusa tu,anacheza makida makida mpaka leo hapo bakhmut huku askari wake wanapukutishwa kama kuku.
 
Amepoteza wanajeshi karibia laki mbili...analiwa mbaya mno, kasababisha msiba kote hadi Tanzania
Russia yeye kapeleka misiba nchi nyingi tu kama Poland,UK,US, Australia NK!
 
DW ,wanasema ukrein imezidiwa sana na huenda huo mji umeshaenda kwa mrusi, kwa mujibu wa uingereza

Sent from my SM-S920L using JamiiForums mobile app
 
IMF's ya wapi hii au gongolamboto? taarifa zako huna vyanzo nafkiri unajiandikia tu kubembeleza swaumu
 
Russia yeye kapeleka misiba nchi nyingi tu kama Poland,UK,US, Australia NK!

Kajisababishia misiba, na kasababisha misiba Afrika kwa viherehere na pia matakbir wenzako wa Syria...
 
Kajisababishia misiba, na kasababisha misiba Afrika kwa viherehere na pia matakbir wenzako wa Syria...
Kapeleka misiba Ulaya yote na US!ila Kuna ambao waliona mziki mzito wakakimbia!
 
Ila hapa mkuu hasa mwishoni sidhani kama pako sawa sana,

Mfano rahisi;

munapopambana kumtoa mvamizi ukiona hawezekani kutoka mpaka ikifikia hari ya mmoja wenu kumtafuta rafiki wa mvamizi ili mambo yaishe basi ujue huyo mvamizi hawezekani..otherwise ilikuwa nikumpiga na kumtoa. Mzungu hana muda wa kumbembeleza mtu hasa jambo linapokuwa rahisi kwake..hivyo Wagner wangekuwa wwpesi kiasi hicho sidhani kama wangethubutu kuanza kumtumia rafiki mkubwa wa mvamizi ili wakae wayamalize.

Uchina kwasasa ndiyo anaonekana Potential baada ya kudharauliwa mapendekezo yake toka mapema..na kwa bahati mbaya ndiyo rafiki pekee mwenye ushawishi kwa huyo mvamizi. Mambo huenda siyo huenda siyo rahisi mpaka ukiona wakubwa (eg France etc) wakianza kumkabidhi majukumu uchina.
 
Hata Ukraine ni Ulaya pia!😀

Hata Ukraine wanakula burger, tulitegemea huyo 'mtume' wenu na usupapawa wake atafumua ka-Ukraine, leo imekua kaburi la wanajeshi wake....
 
Ndio hivyo Russia Bado Yuko sebuleni na anachukua chumba kimoja kimoja!Muondoeni Ukraine ndio tujue ameshindwa!Mtu Hadi anacheza mziki sebuleni kwako halafu unasema yamemshinda,[emoji3][emoji3][emoji3] mnachekesha kweli
Wanajifariji hawa hivi mtu bado yuko ndani mwako alafu wajitapata umemthibiti hawa wana lana

Sent from my SM-S920L using JamiiForums mobile app
 
Mbona azimio la UN lilipinga US kuivamia Iraq lakini Bado US akaenda na washirika wake?
Tena hapo Wana sababu maana Russia kaivamia Ukraine kuliko kule Iraq ambako walimzushia sababu za uongo na kumvamia!
Ngoma ngumu aseee,wangeshaingia miezi ya mwanzo ila sasa wamebaki wanabwekabweka.

Sent from my SM-S920L using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…