Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UviraLeo mna somba toka wapi?
vibaraka wa mabeberu kwa propaganda hamjambo.Watanzania tumeshuhudia maiti za watanzania wenzetu zikiokotwa kwenye fukwe zikiwa zimefungwa mawe na vyuma na nyingine zikiwa kwenye viroba.
Watanzania, tumeshuhudia wenzetu wakitekwa na kupotezwa, wafanyabiashra wakifilisiwa,.
Tumeona ndugu na jamaa zetu wakifunguliwa makesi makubwa na yasiyo na dhamana.
Huyu mtu hatufai kabisa
BAHI pametapika
Hawana jeuri hiyoBashiru Ally - "Hatuta tumia wasanii katika uchaguzi mkuu 2020, tutatumia bendi ya T.O.T tu nchi nzima"
CCM uongo upo kwenye DNA yao, ni INHERITED GENES.
Tena ni maiti za watu ambao hawana wazazi wala ndugu wanaoripoti kupotelewa ndugu au kuomba serikali iwasaidie kutambua maiti za ndugu zao hadi serikali iwazike yenyewe😴😴Watanzania tumeshuhudia maiti za watanzania wenzetu zikiokotwa kwenye fukwe zikiwa zimefungwa mawe na vyuma na nyingine zikiwa kwenye viroba.
Watanzania, tumeshuhudia wenzetu wakitekwa na kupotezwa, wafanyabiashra wakifilisiwa,
BAHI: maeneo yaliyofanyiwa kazi kwa kasi
1-Hosp
2-Mradi wa Maji
3-Umeme
4-Barabara ya lami
5-Soko
6-Daraja
Yani tayari saa tatu kasoro hii watu ni wengi sana!!? Tupia basi 2pichapicha, wenye wivu wajinyonge
Ndiyo maana anafanya kampeni bila presha tumezindua kampeni tarehe 29/08/20219 tumepumzika siku 2 na leo ndiyo tunaendelea na kampeni.Hivi pamoja na kufanya kampeni peke yake kwa miaka yote mitano aliyokuwa rais, bado anahitaji kampeni za nini tena?
Angewaachia vyama vingine kwa hii miezi michache nao wafanye, kwani kama hiyo miaka mitano haikumtosha, sidhani kama hii miezi itamtosha.
Vipi wasanii watakuwepo au, maana watu wanajitokeza kuwasikiliza wasanii na siyo sera za ccm.