Uchaguzi 2020 Kampeni Bahi: Dkt. Magufuli asema miaka mitano ilikuwa ni onjaonja, hiyo yenyewe ndio inakuja

Uchaguzi 2020 Kampeni Bahi: Dkt. Magufuli asema miaka mitano ilikuwa ni onjaonja, hiyo yenyewe ndio inakuja

Mgombea urais wa JMT kupitia CCM, Dr. Magufuli leo anaendelea na mikutano yake ya kampeni katika jimbo la Bahi.

Watu ni wengi sana na mkutano huu utarushwa mubashara na TBC na Channel ten...
Ungesema maelfu ya ng'ombe watasombwa kupelekwa viwanjani kumsikiliza!
 
Bashiru Ally - "Hatuta tumia wasanii katika uchaguzi mkuu 2020, tutatumia bendi ya T.O.T tu nchi nzima"

CCM uongo upo kwenye DNA yao, ni INHERITED GENES.
Hata Beckham alisema atamalizia Mpira manchester lakini akaend Marekani badae
 
Bashiru Ally - "Hatuta tumia wasanii katika uchaguzi mkuu 2020, tutatumia bendi ya T.O.T tu nchi nzima"

CCM uongo upo kwenye DNA yao, ni INHERITED GENES.
Hivi ndivyo wanavyo ongoza nchi. Wana sema hiki halafu wana fanya tofauti. Ila tuwe wakweli, bila wasanii na wana muziki Ccm wata hutubia hewa. Hakuna anae kwenda kwenye mikutano yao kwa kuwasikiliza
 
Hapo ni Bahi nyomi imeishinda ile ya Lissuba Lema pale Arusha. JPM, CCM ba Serekali yao wamemwaga jasho jingi sana katika kuwatumikia Watanzania kwa miaka mitano ni dhahiri uchaguzi huu watatiririka tu.

Ndio sheria ya kijeshi hiyo hasho jingi wakati wa mafunzo na matayarishi ya vita dami kidogo kwenye uwanja wa napambano.

CHADEMA na wapinzani wengine mbinu yao kuwatumikia Watanzania miaka 5 ilikuwa ni kuzira vikao vya Bunge na kutoka ukimbini. Sasa kwenye uchaguzi mbinu hii haifanyika. Huwezi kwakimbia ba kuwaziria wapiga kura na kura zao. Lazima uende kuziomba na kuwaomba wapiga kura.
 
Bashiru Ally - "Hatuta tumia wasanii katika uchaguzi mkuu 2020, tutatumia bendi ya T.O.T tu nchi nzima"

CCM uongo upo kwenye DNA yao, ni INHERITED GENES.

Wewe hukumuelewa Bashiru katika utendaji kazi wa ccm kwenye miaka 5 kabla ya kuanza mchakato wa uchaguzi mkuu 2020, wapi walitumia wasanii zaidi ya TOT?

Kipindi hiki cha uchaguzi acha wasanii nao wapate fursa maana ni Watanzania.
 
Kwenye kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika dodoma wale waliokua wana perfom ni kina nani? Sio wasanii wale? Uliwaona T.O.T Band pale hata mpiga kinanda mmoja?
 
Amepiga push up kutuonyesha kuwa bado ana afya njema kama 2015!!?

Kasema Leo anao mtiti wa ratiba za kampeni, hii ina tosha kuonesha Mungu wake bado anampenda na kumpigania kwa kila hali, dhidi ya shetwani na mawakala wake wanaomuombea mabaya.
 
Back
Top Bottom